Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Kwaiyo kaka ndo ushahalalisha we ni andunje eee??mdogo wangu ntatolewa nduki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo kaka ndo ushahalalisha we ni andunje eee??mdogo wangu ntatolewa nduki!
Nipigie promo basi jamani....Hakika utapata unachohitaji.
Imekupitaje kwa mfano dini au uandunje??Hii fursa imenipita hivi hivi
Kila la kheri mkuu Allah akujalie ufanikiwe hitaji lako upate kujisitiri
Kwaiyo kaka ndo ushahalalisha we ni andunje eee??
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Imekupitaje kwa mfano dini au uandunje??
Ukienda kanisani utapata mume siku ya kwanzaWazima humu
Natafuta mtu wa kunisitiri maana naona hali yangu c hali tena na swala la kuzini silihitaji kabisaaa masikioni mwangu
Najikuta napoteza watu wengi ambao wananihitaji kimapenz Ila wengi hawamuogop Mungu wameendekeza zinaa hvy nikiweka msimamo bac mtu anapotea lakini cjali naamini yupo mwenye hofu na Mungu na akanisitir
Hvy bac ww ambaye unahc unauhitaji wa mke ikiwezekan hata ndani ya mwaka huu huu bac hii ndo fursa yako na hakika hutajutia kunijua wala kunioa
Akiwa muislam itapendeza zaid
Akiwa msomi Sawa pia hata kama hana kazi haina shida mali zinatafutwa ila awe amesoma maana mm elim yangu mm ni ya kawaida tu
Andunje hapana jamn mnisamehe maana me pia anduje sasa tukitaka kufuta vumbi kwenye feni itakuaje hapo
Awe tayar kubadilika na kuishi kwa kumtegemea Mwenyez Mungu kwa kila kitu na sio binaadam mwenzake (shirki is not allowed)
Akiwa mpole kwangu nitashkr sana ila ajue tu yeye ndo baba hvy inafikia kipind atatakiwa upole ubakie kwangu ila kwa watoto natamani awe mkali zaid maana mm hadi najionea huruma siwez kuongea kwa ukali
Asiwe black saanaaa wala mweupeeee saaana angalau maji ya kunde
Awe tayar kuishi na mm bila kuninyanyasa maana sina kibarua Ila napenda ujasiriamali so akiniwezesha atafutarah maan biashara kwangu ni bora kuliko kuajiriwa
Ila nikibak nyumbani napenda zaid maana nitakuwa na uhakika wa kumtimizia mume wangu nahitaji yake kwa muda unaotakiwa angalau hata 95%
Karibuni PM mwenye nia tu
Tathimini upia vigezo vyako unamkufuru Mungu kwani havikubaliki unataka mchamungu huku unakufuru Mungu kaumba warefu na wafupi wanene na wembamba weusi weupe na katika kuoa au kuolewa vigezo kwa wachamungu ni Mchamungu, Mali ,Uzuri na familia ya anakotoka mchumbaWazima humu
Natafuta mtu wa kunisitiri maana naona hali yangu c hali tena na swala la kuzini silihitaji kabisaaa masikioni mwangu
Najikuta napoteza watu wengi ambao wananihitaji kimapenz Ila wengi hawamuogop Mungu wameendekeza zinaa hvy nikiweka msimamo bac mtu anapotea lakini cjali naamini yupo mwenye hofu na Mungu na akanisitir
Hvy bac ww ambaye unahc unauhitaji wa mke ikiwezekan hata ndani ya mwaka huu huu bac hii ndo fursa yako na hakika hutajutia kunijua wala kunioa
Akiwa muislam itapendeza zaid
Akiwa msomi Sawa pia hata kama hana kazi haina shida mali zinatafutwa ila awe amesoma maana mm elim yangu mm ni ya kawaida tu
Andunje hapana jamn mnisamehe maana me pia anduje sasa tukitaka kufuta vumbi kwenye feni itakuaje hapo
Awe tayar kubadilika na kuishi kwa kumtegemea Mwenyez Mungu kwa kila kitu na sio binaadam mwenzake (shirki is not allowed)
Akiwa mpole kwangu nitashkr sana ila ajue tu yeye ndo baba hvy inafikia kipind atatakiwa upole ubakie kwangu ila kwa watoto natamani awe mkali zaid maana mm hadi najionea huruma siwez kuongea kwa ukali
Asiwe black saanaaa wala mweupeeee saaana angalau maji ya kunde
Awe tayar kuishi na mm bila kuninyanyasa maana sina kibarua Ila napenda ujasiriamali so akiniwezesha atafutarah maan biashara kwangu ni bora kuliko kuajiriwa
Ila nikibak nyumbani napenda zaid maana nitakuwa na uhakika wa kumtimizia mume wangu nahitaji yake kwa muda unaotakiwa angalau hata 95%
Karibuni PM mwenye nia tu
Kwaiyo kaka ndo ushahalalisha we ni andunje eee??
[emoji3] [emoji3] si unajuwaga me sichelew[emoji124] [emoji124][emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nitakuambia kule ukipata wasaa uje
He he pole sanaa aiseee naendelea kukutafutia anayekufaanitafanyaje sasa mdogo wangu wakati nikikaa kwenye kigoda miguu haifiki chini.
Hahahahahahaaaa[emoji3] [emoji3] si unajuwaga me sichelew[emoji124] [emoji124]
ewaaaa unavonipenda kaka ako najua hutakosea kunitafutia nke roho yangu inapenda.He he pole sanaa aiseee naendelea kukutafutia anayekufaa
Hapo kwenye uzuri si pamoja na umbo, kimo, rangi? Kama huvutiwi na mfupi sioni kama kuna sehemu utakufuru.Tathimini upia vigezo vyako unamkufuru Mungu kwani havikubaliki unataka mchamungu huku unakufuru Mungu kaumba warefu na wafupi wanene na wembamba weusi weupe na katika kuoa au kuolewa vigezo kwa wachamungu ni Mchamungu, Mali ,Uzuri na familia ya anakotoka mchumba