Mume wa Maria Sarungi amtupia lawama moja kwa moja Rais Samia na vyombo vyake vya usalama

Mume wa Maria Sarungi amtupia lawama moja kwa moja Rais Samia na vyombo vyake vya usalama

Ruto unatuharibia nchi, bora uondoke tu, juzi Besingye wa Uganda alitekwa hapa Nairobi, sasa huyu Mtanzania mlimteka wa nini.
 
kumbe abdul ni biriani😁😁😁😁
Kijana haeleweki, kalegea kama mlenda na urojo. Biskuti tu anatataka alowekewe kwenye chai ili aile vizuri, unafikiri yuko salama huyu? Na hivi anavyoteka watu, wananchi wanamuombea mabaya azidi kuharibikiwa zaidi wajilie tu huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom