Mume wa Maria Sarungi amtupia lawama moja kwa moja Rais Samia na vyombo vyake vya usalama

Mume wa Maria Sarungi amtupia lawama moja kwa moja Rais Samia na vyombo vyake vya usalama

Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya, na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo.

Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na waliopo kwenye vyombo vyake vya dola/ usalama.

Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Kasema hana shaka kabisa kuwa ni nani kahusika na tukio hilo, ingawa hakutoa ushahidi wowote ule.

==========================
Ms Tsehai’s husband, David, said following his wife’s release: “This has been the worst ordeal of my life. I did not know whether she was alive or dead.”

“She is a fierce critic of Samia Suluhu’s government so there is no doubt that this government and the thugs in her security service and police are behind this,” Mr Tsehai told Citizen TV.

He said he and Maria have been living in Nairobi after fleeing Kenya’s southern neighbour during the regime of Suluhu’s authoritarian predecessor John Magufuli, who issued an arrest warrant against the activist.

movie za kujiteka halafu eti unasingizia sijui anaziwezea Abdul nondo tu, huyo mwingine bado sana 🐒
 
Mama Naye amezidi mno kuwateka wanaomkosoa.aache maramoja
 
Hao wakosoaji ulikuwa pamoja nao toka kipindi cha Magufuli ila wewe sasa hivi unawaita mabwege tena kisa wewe umeacha kukosoa.
Magufuli alifanya maovu mengi, na legacy yake aliyoiacha ndiyo hii watu wanaikopi.

Maana hata chaguzi ndogo za kwenye Kata watu wanatekana na kuuana. Rais Samia hawezi kuamuru hata kuua MJUSI, sembuse ya binadamu!!
 

Kenya tensions | Kenyans sign a petition asking the ICC to investigate the spike in abductions


View: https://m.youtube.com/watch?v=y4YhYza6xg8
Kenyans have signed a petition asking the International Criminal Court to investigate the abductions in that country.

This follows the latest abduction of Human Rights activist Maria Tsehai, who has allegedly been kidnapped by three armed men in Nairobi Kenya, before being released hours later.


The Tanzanian independent media editor and human rights defender is known for her criticism of the Tanzanian government on a range of issues.

The Kenyan intelligence service has been accused of conducting abductions in that country following widespread protests from June last year. For more on the abductions in Kenya, we are joined virtually by Irũngũ Houghton, Section Director: Amnesty International Kenya

Source : SABC News
 
Hapa ndiyo unanikumbusha ile kauli ya kijasusi "everybody is your enemy,everybody is your friend"

Wewe jamaa Leo umekuwa against harakati za kukosoa serikali? Kutoka kuwa mkosoaji hadi kuwa adui wa wakosoaji wenzio unaowaita "wabagaza nchi".
Maria Sarungi siyo mkosoaji. Serikali inakosolewa inapokosea. Yeye kazi yake kila asubuhi ni kuangalia Serikali imetamka au imefanya nini kisha kukimbia mtandaoni na kutukana au KUKEJELI.

Si ajivue sasa UTANZANIA kabisa tujuwe ni Mkenya au muEthiopia
 
Samia Mafia tu km mwenda zake aliyekufa before her; at least Magu hakuwa mnafki km uyu bibi na hijab yake ya kinafki mxieeeeeeu
 
Tatizo la sasa Mama Samia ni kama vile hana nguvu na kuna kihere here wengi sana usalama na wanapanga vitu inawezekana bila kutumwa. Sasa Mama akisikokuwa makini na hizi teka teka kuna wananchi wanaweza kulipiza visasi kwa hao ndugu wa wanasiasa .
Mimi nina mawazo tofauti kabisa... Sina imani na sijawahi kua na imani kwamba mama Samia na Rais wetu anahusika na hizi mambo. Ninaamini kabisa kuna kundi kubwa sana la watu wanafanya hizi mambo kumchafua... Mama ashtuke afanye maamuzi magumu hasa ya kuunda time huru itakayoshirikisha wale waliotekwa na wapo hai. Ukweli utajulikana. Ila imani yangu hii ni merely political move
 
Niliposikia katekwa, fikra chafu chafu zikaanza kunijia kichwani. Na sijui hata ni kwa nini 🤣.

I hope they didn’t violate her.
Ni kweli kuna uwezekano watakuwa wamemfanyavitendo vichafu. Na lengo lao lilikuwa ni kumfanya hivyo na kumwachia. Aache kuinanga serikali yetu la sivyo hao wahuni wanaweza wakamfanyiwa tena vitendo hivyo vichafu. Ni wahuni tu wala hawajatumwa na serikali yetu.

Serikali yetu kama ingalikuwa inamhitaji ingalitumia polisi wa interpol kumu arrest na kumfikisha kwenye mahakama zetu. Ni rahisi tu. Haiwezi kutumia utaratibu huo wa kumteka na kumpeleka kusiko julikana.
 
movie ya abdul nondo part2 iliyogawanyika Kenya ina vichekesho vingi, ati wanaotekwa Kenya wanatekwa na Tanzania🤣

Unadhani Lissu kahusika kwenye kumteka?

Mbona baada ya kelele hadi kwa kina Biden huko wakamwachia?

Kwani hasa hasa kina nani wanakerwa naye?

Kulikoni kuwadhania wengine wajinga?

Hivi kuna hata tamko la kulaani nyie na washirika wenu wale wa mwamba mlilotoa?

Looh!
 
Magufuli alifanya maovu mengi, na legacy yake aliyoiacha ndiyo hii watu wanaikopi.

Maana hata chaguzi ndogo za kwenye Kata watu wanatekana na kuuana. Rais Samia hawezi kuamuru hata kuua MJUSI, sembuse ya binadamu!!
Wakina nani hao wenye kuikopi na bado hawakamatwi katika utawala wa Samia? Maana wasiojulikana walikuwepo wakati wa Magufuli ila hawakujulikana wala kukamatwa na sasa wakati wa Samia hao wasiojulikana bado wanateka na kuuwa ila bado hawakamatwi tu?
 
Maria Sarungi siyo mkosoaji. Serikali inakosolewa inapokosea. Yeye kazi yake kila asubuhi ni kuangalia Serikali imetamka au imefanya nini kisha kukimbia mtandaoni na kutukana au KUKEJELI.

Si ajivue sasa UTANZANIA kabisa tujuwe ni Mkenya au muEthiopia
Wakati wa Magufuli hamkuwa mnatenganisha Rais na serikali.
 
Unadhani Lissu kahusika kwenye kumteka?

Mbona baada ya kelele hadi kwa kina Biden huko wakamwachia?

Kwani hasa hasa kina nani wanakerwa naye?

Kulikoni kuwadhania wengine wajinga?

Hivi kuna hata tamko la kulaani nyie na washirika wenu mlitoa?

Looh!
hadi mzee Biden kahusika kwenye hii movie ya abdul nondo part2 gentleman 🤣
 
Niliposikia katekwa, fikra chafu chafu zikaanza kunijia kichwani. Na sijui hata ni kwa nini 🤣.

I hope they didn’t violate her.
She is not the type that'll keep quiet if in any way they did violet her.
Hiyo kama imetokea atafanya hata interview CNN, BBC au Al Jazeera.
 
Back
Top Bottom