Mume wa Maria Sarungi amtupia lawama moja kwa moja Rais Samia na vyombo vyake vya usalama

Mume wa Maria Sarungi amtupia lawama moja kwa moja Rais Samia na vyombo vyake vya usalama

Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya, na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo.

Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na waliopo kwenye vyombo vyake vya dola/ usalama.

Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Kasema hana shaka kabisa kuwa ni nani kahusika na tukio hilo, ingawa hakutoa ushahidi wowote ule.

==========================
Ms Tsehai’s husband, David, said following his wife’s release: “This has been the worst ordeal of my life. I did not know whether she was alive or dead.”

“She is a fierce critic of Samia Suluhu’s government so there is no doubt that this government and the thugs in her security service and police are behind this,” Mr Tsehai told Citizen TV.

He said he and Maria have been living in Nairobi after fleeing Kenya’s southern neighbour during the regime of Suluhu’s authoritarian predecessor John Magufuli, who issued an arrest warrant against the activist.

Sad news, hakuna media zetu kubwa utasikia hii habari.
 
Hicho kishankupe hawakukipiga miti hao watekaji?
 
Mwanaharakati ana Mume asiye Mwanaharakati!!

Sipati picha humo ndani kukoje!
 
Mume wa Maria ni poyoyo fulani la Ki-Ethiopia, kwanza ni legelege maana hwana hata mtoto wa kusingiziwa
Not to pile on, ila kwa muonekano wake, huyo jamaa sidhani kama anaweza hata kumlinda mke wake.

Anaonekana hajawahi hata kupigana ngumi za kitaa 🤣.
 
Kwa vyovyote kukaa nchi jirani na kuibagaza nchi yako kila uchao ni UBWEGE.
Hapa ndiyo unanikumbusha ile kauli ya kijasusi "everybody is your enemy,everybody is your friend"

Wewe jamaa Leo umekuwa against harakati za kukosoa serikali? Kutoka kuwa mkosoaji hadi kuwa adui wa wakosoaji wenzio unaowaita "wabagaza nchi".
 
Ndugu Kabendera kupitia kitabu chake kipya, ameonyesha kuwa ana credible sources kuhusu matukio mengi yaliyotokea nchini hasa wakati wa JPM.

Naomba atumie vyanzo vyake hivyo kupata taarifa za waliopotea au kutekwa baada ya JPM.

Asisubiri kuandika kitabu kingine, atupe live updates, atakuwa shujaa na ataaminika.
 
Tatizo la sasa Mama Samia ni kama vile hana nguvu na kuna kihere here wengi sana usalama na wanapanga vitu inawezekana bila kutumwa. Sasa Mama akisikokuwa makini na hizi teka teka kuna wananchi wanaweza kulipiza visasi kwa hao ndugu wa wanasiasa .
Shida hatoki kukemea na hasemi chochote juu ya haya ya utekaji na wabongi tulivo na mahakama vichwani mwetu ndo balaa
 
Mume wa Maria ni poyoyo fulani la Ki-Ethiopia, kwanza ni legelege maana hwana hata mtoto wa kusingiziwa
Hata huyu dada looks Ethiopian? Ila ina maana huyo mwanaume hana mtoto na huyo mwanamke, itakuwa hampigi paipu vizuri au menopause imefika?
 
daah pole zake aisee

BTW mi naomba mnisaidie hawa ndo wanataka kuanza au walianza na sasa wanapumzika au ndo wamemaliza shughuli?
Screenshot_20250113-084726_Instagram Lite.jpg
 
Mbona Team Lisu walisema ni Mbowe ndiye alimteka, sasa tuamini lipi?
Walisema hata Ben Saanane alitekwa na Magufuli kisha akapelekwa ikulu. Magufuli akampiga risasi Ben Saanane na kumuua kisha akaagiza maiti yake ikatupwe mto ruvu.
Sijui tumuamini nani?
 
Tutegemee serikali ya Tanzania itatoa tamko juu ya kadhia iliyompata huyu mtanzania mwenzetu nje ya nchi.

Pia ubalozi wa Tanzania nchini Kenya kuwasiliana na mamlaka husika kufuatilia ni kina nani wamehusika na utekaji wa raia wa Tanzania.
Wapi ulishaona mtuhumiwa anajichunguza mwenyewe?
 
Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya, na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo.

Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na waliopo kwenye vyombo vyake vya dola/ usalama.

Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Kasema hana shaka kabisa kuwa ni nani kahusika na tukio hilo, ingawa hakutoa ushahidi wowote ule.

==========================
Ms Tsehai’s husband, David, said following his wife’s release: “This has been the worst ordeal of my life. I did not know whether she was alive or dead.”

“She is a fierce critic of Samia Suluhu’s government so there is no doubt that this government and the thugs in her security service and police are behind this,” Mr Tsehai told Citizen TV.

He said he and Maria have been living in Nairobi after fleeing Kenya’s southern neighbour during the regime of Suluhu’s authoritarian predecessor John Magufuli, who issued an arrest warrant against the activist.

Haina shaka ma CCM na Ile timu ya mwamba na wafuasi wake watakuwa waliserebuka mno kusikia Maria katekwa!

Tlaatlaah, fazil, imhotep au nasema uongo?
 
Back
Top Bottom