osiligibrainy
Member
- Oct 27, 2021
- 35
- 27
aiseee.Ukizaa na malaya utamuelewa jamaa,homgereni wenye ma wife material huyu wangu ningefanya na sherehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aiseee.Ukizaa na malaya utamuelewa jamaa,homgereni wenye ma wife material huyu wangu ningefanya na sherehe
duuuu hizi ndoa hizi jamaniTatizo watu wanadhan tunakaa kwenye ndoa kisa tunapenda ,mm mfano mashemeji zangu wamenipa connection mingi ni washkaji zangu kabisa ,wakwe wamenikatia hadi shamba kwa jina langu ,watoto wangu wanaishi nao (wao pia wanajua hii mke kimeo) xmas huwa wanaenda kula kwa wazaz wangu na kwao wamejaza mapicha yetu ya ndoa na wazazi wangu ,hata nimkate kofi mama yangu huyu hapa vya kusuruhisha ,janamke levi lishaliwa na kila mshikaj wangu ,ila tuna smart kids 4 na dna zote
zangu(nilikuwa nataman azae nje nipate sababu) NDOA ZINA WATU WAKE
Aisee!In the first place ndio alitakiwa awe wa kwanza kufika eneo la tukio.. Wanawake siku hizi wanabeba mzigo mkubwa rohoni kisa kulinda ndoa.. Wengi wanaishi kwa mateso ya kukosa mapenzi ya kweli lakini hawana jjnsi wanaogopa kuachika
Ooohooo!Maunda alitoka msibani..
Lakini baadae akapitia sehemu, umeiona ile video ya alivyovaa huko alipopitia.? Kavaa kigauni kifupi kapiga make up huku kakumbatiana na mwanaume anaimba na anaonekana alilewa..
Ukiiona hiyo video utapata majibu mengi sana..
Maana yake alibadilisha nguo alibadilishia wapi.? Alipakia make up wapi.?
Unaniacha nyumbani na watoto unaaga unaenda msibani, unapitia sehemu kulewa ukiwa na mwanaume, unarudi saa 4 ..
Wanaume tunapitia mengi sana..
There is a dead rat somewhere!Hata mi nimesiliza hiyo interview sikuelewa. Banana anasema marehemu kapata ajali 10 minutes drive from her home. Meaning ni jirani kiasi.
Then mume anasema alipigiwa simu then naye akampigia RTO. Mara akaambiwa tulia usitoke. Na yeye akapumzika mpaka sa 12 asbh Banana alivyokuja.
Najiuliza, unawezaje kuwa na ujasiri wa kupumzika wakati hujui hatma ya mkeo huko alipo na umeshaambiwa kapata ajali mbaya? Simjudge ila nahisi something is not right
Hapa ndoa ya mwezi wa saba ilikuwepo kweli?Watu mnaokujaga na maconclusion huwa,nawashangaa sana. Hivi hamuoni kwamba hakukuwa na ndoa hapo! Na ni wazi jamaa alichoka tabia za mkewe. Anaonekana alikuwa mtu wa kujiachia sana
Duuh! Ni lazima yamekufika kooni mkuu, pole sana !Mwanamke malaya ukimpenda mkaoana na akazaa kumuacha inakuwa kazi .ila kila anavyocheat hadharan watu tunashindwa hata kukaa baa unawaza hawa wote washanipigia ,watu wanajiua wanapata pressure unafikia mahali unamuona kama mwendazake kuwa kumuua dhambi ila wajuu akifanya saaafi
wakati mwingine wanayataka wenyewe kwa kuamua kutafuta hela kuzidi wanaume na kuwadharau wanaume! ila sasa ukikubali kununuliwa chakula na mwanamke mhn! bora ukope benki mtamalizana utaachwa uchi kila sehemu. mwisho wasiku wavulana wa siku hizi wanapenda mseleleko mno inawezekana jamaa hakwenda kwa kuogopa gharama na alikuwa hana kitu.In the first place ndio alitakiwa awe wa kwanza kufika eneo la tukio.. Wanawake siku hizi wanabeba mzigo mkubwa rohoni kisa kulinda ndoa.. Wengi wanaishi kwa mateso ya kukosa mapenzi ya kweli lakini hawana jjnsi wanaogopa kuachika
NO, THE BIG NO,Sasa angepatiwa msaada gani wa mapema kwa iyo wale waliokua wanamtoa walikua hawafanyi msaada. Au mume angeenda angeweza kuchana vyuma kwa mkono. Au angemtoa peke yake ki miujiza
Lawama zingine ni za kijinga
NO, THE BIG NO,
Mke wako, Partner wako anapata ajali wewe uko nyumbani? Kama uko around? Unless otherwise kama alikuwa mkoani, hata kama hakuwa na nauli angeomba akimbie haraka kwenye ajali.
Hata bodaboda nayo? Acha masihala wewe.
Wamama wakiwa wajawazito wanateseka Sana lkn Cha ajabu, wanapenda kuzaa kweliIn the first place ndio alitakiwa awe wa kwanza kufika eneo la tukio.. Wanawake siku hizi wanabeba mzigo mkubwa rohoni kisa kulinda ndoa.. Wengi wanaishi kwa mateso ya kukosa mapenzi ya kweli lakini hawana jjnsi wanaogopa kuachika