Tatizo watu wanadhan tunakaa kwenye ndoa kisa tunapenda ,mm mfano mashemeji zangu wamenipa connection mingi ni washkaji zangu kabisa ,wakwe wamenikatia hadi shamba kwa jina langu ,watoto wangu wanaishi nao (wao pia wanajua hii mke kimeo) xmas huwa wanaenda kula kwa wazaz wangu na kwao wamejaza mapicha yetu ya ndoa na wazazi wangu ,hata nimkate kofi mama yangu huyu hapa vya kusuruhisha ,janamke levi lishaliwa na kila mshikaj wangu ,ila tuna smart kids 4 na dna zote
zangu(nilikuwa nataman azae nje nipate sababu) NDOA ZINA WATU WAKE