makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Huyu mwanaume ni wakuondolewa mapumbu bila ganzi, wamuhasi tu kavu kavu.[emoji35][emoji35]Ni mume wa Osinachi-muimbaji wa injili wa naijeria, she died few weeks ago due to demestic violence, nimeangalia familia yake wanavyosimulia ukatili aliokua anatendewa na mume wake and still she never wanted to quit that marriage mpaka akafia humo
Mmeshindwana na mtoto wa mtu muache kwa salama na amani.
Mie kila siku nasema, awe mume/mke kama si salama kwa afya yako achana nae, ulizaliwa pekee yako, hujaja na mtoto wa mtu duniani.
Jitu lisumbue akili yako, likupige bado upo tu, kwani yeye ndio anamiliki funguo ya kuingilia pepo au.