Mume wa Maunda Zoro ni mfano wa Wanaume wa hovyo wa Dar es Salaam

Mume wa Maunda Zoro ni mfano wa Wanaume wa hovyo wa Dar es Salaam

Maunda alitoka msibani..

Lakini baadae akapitia sehemu, umeiona ile video ya alivyovaa huko alipopitia.? Kavaa kigauni kifupi kapiga make up huku kakumbatiana na mwanaume anaimba na anaonekana alilewa..

Ukiiona hiyo video utapata majibu mengi sana..

Maana yake alibadilisha nguo alibadilishia wapi.??? Alipakia make up wapi.?

Unaniacha nyumbani na watoto unaaga unaenda msibani, unapitia sehemu kulewa ukiwa na mwanaume, unarudi saa4 ..

Wanaumr tunapitia mengi sana..
Ukiwa mtulivua majibu yote yapo hapa.

Kuna wakati bora uwe msomaji uujue ukweli.
 
In the first place ndio alitakiwa awe wa kwanza kufika eneo la tukio.. Wanawake siku hizi wanabeba mzigo mkubwa rohoni kisa kulinda ndoa.. Wengi wanaishi kwa mateso ya kukosa mapenzi ya kweli lakini hawana jjnsi wanaogopa kuachika
Ewaaaa
Ya ndani magumu
 
Kampigia mdogo wake alikuwa Kingaz aende .. Toka Kingaz njia ya kwenda Mbagala kule kwenye magorofa ya NSSF mpaka ungindoni just imagine
Kulikuwa na jambo, hata kama mdogo wake angekuwa anaishi ungindoni pale paleau mjimwema, nadhani angempigia simu kumpa taarifa kama yupo karibu aende wakutane pale eneo la ajali, sio kumwambia aende nae abaki kakaa tu kwake.
 
Nimesikitishwa sana na Kifo cha Maunda Zoro, vibao vyake ni vya enzi zangu nilivipenda sana. Nakumbuka mchumba wangu wa enzi hizo akiniimbia Nataka niwe wako.

Ila nimesikitika zaidi kwa kuwa alikua akiishi na mtu wa hovyo sana. Ambaye mbali na kukaa nae miaka yote akimzalisha watoto watatu bila kufunga ndoa, pia hakuwahi kumjali.

Ukimsikiliza akihojiwa anasema alipigiwa simu mkewe kapata ajali, akaendelea kukaa Nyumbani huku akiwasiliana na watu. Anasema "MAMA akaniambia usitoke nikampigia RTO akasema ndio wanajaribu kumtoa, nampigia mdogo wangu aendee akafika baada ya kama dakika kumi akaniambia kafika ila bado wanahangaika kumtoa. Hatimaye wamemtoa kafariki."

Mwisho anasema kama angepatiwa huduma ya kwanza mapema angepona kwasababu kama kwa kuchelewa kupata Msaada. Wakati yeye alibaki Nyumbani akichat.
Huyo mwanamume ni kada wa CCM. Akili zao ndio ziko hivyo
 
Mwili wenyewe umeuona namna ulivyo vile, ila asilaumiwe sana yashatokea tayari
 
Huenda alikuwa kwenye hali ya kupanic vibaya sana ndio maana aliambiwa atulie kwanza vinginevyo pengine na yeye angepotea mtihani ukazidi kuwa mkubwa maradufu.

Mbona ajali huwa zinatokea na watu baki huwa wanawapeleka majeruhi hospitali na kupona?!
 
In the first place ndio alitakiwa awe wa kwanza kufika eneo la tukio.. Wanawake siku hizi wanabeba mzigo mkubwa rohoni kisa kulinda ndoa.. Wengi wanaishi kwa mateso ya kukosa mapenzi ya kweli lakini hawana jjnsi wanaogopa kuachika
Ingesaidia nini?
What if yeye ndio alikua anaoganize watu wa karibu na ajali ili wawahi kumtoa?
Au ulitaka atengeneze stori ya kutunga ili aonekane anajali?
 
Hata mi nimesiliza hiyo interview sikuelewa.Banana anasema marehemu kapata ajali 10 minutes drive from her home.Meaning ni jirani kiasi.Then mume anasema alipigiwa simu then naye akampigia RTO.Mara akaambiwa tulia usitoke.Na yeye akapumzika mpaka sa 12 asbh Banana alivyokuja.Najiuliza,unawezaje kuwa na ujasiri wa kupumzika wakati hujui hatma ya mkeo huko alipo na umeshaambiwa kapata ajali mbaya?Simjudge ila nahisi something is not right
Good!! Na wote tuishie hapo.
 
Back
Top Bottom