Hata mi nimesiliza hiyo interview sikuelewa. Banana anasema marehemu kapata ajali 10 minutes drive from her home. Meaning ni jirani kiasi.
Then mume anasema alipigiwa simu then naye akampigia RTO. Mara akaambiwa tulia usitoke. Na yeye akapumzika mpaka sa 12 asbh Banana alivyokuja.
Najiuliza, unawezaje kuwa na ujasiri wa kupumzika wakati hujui hatma ya mkeo huko alipo na umeshaambiwa kapata ajali mbaya? Simjudge ila nahisi something is not right