Mume wa Maunda Zoro ni mfano wa Wanaume wa hovyo wa Dar es Salaam

Duuuh
Hata mi nimesiliza hiyo interview sikuelewa.Banana anasema marehemu kapata ajali 10 minutes drive from her home.Meaning ni jirani kiasi.Then mume anasema alipigiwa simu then naye akampigia RTO.Mara akaambiwa tulia usitoke.Na yeye akapumzika mpaka sa 12 asbh Banana alivyokuja.Najiuliza,unawezaje kuwa na ujasiri wa kupumzika wakati hujui hatma ya mkeo huko alipo na umeshaambiwa kapata ajali mbaya?Simjudge ila nahisi something is not right
 
Mnoo, mpaka watoto wanasimulia namna baba alikua anamnyasa mama yao na kumpiga, na watoto nao wamepigwa sana, halafu anawaambia watoto wake wa kiume kwamba beating women is the right thing to do
beating women is the right thing to do[emoji15][emoji15][emoji24]
 
Na pia Banana katoka Malamba mawili kwenda eneo la tukio usiku baada ya kupewa taarifa wakati mwenye mke wake yupo hapo kigamboni jirani
Kazi yake kuchat. Maunda kafa na mengi.
 
  • Kicheko
Reactions: amu
Jianaume la hovyo mno kuwahi kutokea. Hata kama hamuelewani lakini lilisikia kabisa ameshakufa unawezaje kukaa ndani tena ambako mliishi wote? Yaani ni katili Sana. Yaani eti akasema alijiegesha Kulala. What??? Yaani nikifiwa na mtu wa karibu siwezi Kula wala Kulala. Nilifiwa na Kaka yangu yaani sikuweza kumeza chochote chakula siku NNE hata njaa sina. Nikafiwa na mama hapa ilikuwa funga kazi maana sikuweza Kula. Nilishindia uji na vitu laini. Nilikonda suruali nilinunua upya za mpito. Sasa uniambie afe mke wangu. Eeh Mungu nakuomba kikombe hiki kinipite mbali maana huwa hata akisafiri naona ugumu Sana nyumbani. Ninapenda na kumjali mno. Hata aliugua hospitali ni lazima nimpeleke au nimfuate huko. Na Sisi ni watu wazima na upendo wetu haujawahi kuyumba. Sisi siyo malaika hata tukihitilafiana vitu vidogo hatulali hatujayamaliza.

Ila pia mtu amekuzalia watoto watatu wa kwanza over 10 years. Halaula. Hakuna ndoa kweli?. Bora wangetemana tu mapema kuliko hizi aibu.

Poleni Sana familia ya Zoro.
 
I can see the bitterness in you Zogwale
 
Nimemsikiliza ni kama nimeshindwa kumuelewa, kweli wewe mwenzako mama ya watoto wako yuko katika hali mbaya ya umauti wewe unaambiwa pumzika mpaka asubuhi na roho yako inakutuma sawa? hata kama amefariki ni mimi natakiwa niwe pale, ni mimi hata kama kumuingiza mortuary ni mimi, hii nchi kuna family zinaishi kwa style huwezi ku imagine. Hizi tabia mtu umefiwa tu kweli unapata nguvu gani ya kuongea na media? za nini? kwani kuwaambia samahani ndugu zangu mimi nimefiwa kuna mtu ataongea mambo ya taratibu kwa sasa naomba privacy kuna mimi kuna watoto hapa. Tuko speed na media uchwara kuuza sura. shame
Akaomba wamuulize na swali la mwisho[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mke wako huyo?[emoji849][emoji849]

Ungefanya na sherehe[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mwanamke malaya ukimpenda mkaoana na akazaa kumuacha inakuwa kazi .ila kila anavyocheat hadharan watu tunashindwa hata kukaa baa unawaza hawa wote washanipigia ,watu wanajiua wanapata pressure unafikia mahali unamuona kama mwendazake kuwa kumuua dhambi ila wajuu akifanya saaafi
 
beating women is the right thing to do[emoji15][emoji15][emoji24]

Screenshot_20220415-155530_Instagram.jpg
 
Mnoo, mpaka watoto wanasimulia namna baba alikua anamnyasa mama yao na kumpiga, na watoto nao wamepigwa sana, halafu anawaambia watoto wake wa kiume kwamba beating women is the right thing to do
KENGE gani huyu!? [emoji35]
 
Mwanamke malaya ukimpenda mkaoana na akazaa kumuacha inakuwa kazi .ila kila anavyocheat hadharan watu tunashindwa hata kukaa baa unawaza hawa wote washanipigia ,watu wanajiua wanapata pressure unafikia mahali unamuona kama mwendazake kuwa kumuua dhambi ila wajuu akifanya saaafi
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
KENGE gani huyu!? [emoji35]
Ni mume wa Osinachi-muimbaji wa injili wa naijeria, she died few weeks ago due to demestic violence, nimeangalia familia yake wanavyosimulia ukatili aliokua anatendewa na mume wake and still she never wanted to quit that marriage mpaka akafia humo
 
Back
Top Bottom