Nimetoka tu nje ya geti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi, kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi kwa fulani, gari kali nyie, ananukia.
Eti dada samahani, eti kwa fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize, anakataa. Nikamwambia haya siku njema, akadai naomba uje, naomba unipe namba yako tafadhali, nikikwama nikutafute.
Nikampa ili asinione mbaya, basi nikaondoka ili kwenda tu hivi kadakika kamoja akadai wewe mama hiyo ndio namba yangu mpenzi, nikasema tena hii kali.
Nikamuuliza tokea lini sisi wapenzi, akadai tokea unipe namba, mmh! Nikasema nimeposwa sitaki shari, akasema hata mimi nimeoa, basi nikamwambia subiri niolewe tuwe pair, akagoma. Akasema chasiri kizuri, nikagoma bwana, nampenda chotara sana.
Ni handsome na hajaoa nataka kutulia na huyu wa JF, kanahela hakakazungu, kanapenda na mpenda humu JF, yupo na ni kweli.
Mtoa mada mmoja amedai tunatoa mada za kipuuzi siku hizi, hata chooni tu nikienda nasema sitawaliwi kuishi, hii nchi sio ya Marekani, ni yetu.