Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
U google vipi wakati nyuchi zako anazijua zote? We mtumie tu aridhike akutumie na madusko hayoNiwape story,niliwahi date na mume wa mtu ,tukaachana kwasababu tu ya kushift mkoa lakini tukawa tunaendelea na mawasiliano japo kwa mwezi tunaweza kuwasiliana Mara chache,uyu kipindi tunadate aliwahi omba picha za uchi,lakini sikuwahi mtumia!!!! Sasa si mnajua kuna kumisiana Leo kaomba tena picha za uchi jamani nimepanga ni google nimtumie.