Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
U google vipi wakati nyuchi zako anazijua zote? We mtumie tu aridhike akutumie na madusko hayoNiwape story,niliwahi date na mume wa mtu ,tukaachana kwasababu tu ya kushift mkoa lakini tukawa tunaendelea na mawasiliano japo kwa mwezi tunaweza kuwasiliana Mara chache,uyu kipindi tunadate aliwahi omba picha za uchi,lakini sikuwahi mtumia!!!! Sasa si mnajua kuna kumisiana Leo kaomba tena picha za uchi jamani nimepanga ni google nimtumie.
Na utaendelea kushangaa zaidi kukuta Me mwenyewe ni Upinde.Utashangaa zaidi kukuta mleta uzi ni Me.
Ujue Ni mwanamke mpweke ambaye hata salamu kutoka kwa wanaume hapati.Nyuzi zako kila siku ni hizihizi, nini mbaya..?
Kweli kabisa Mkuu.Ni nadra wanawake kupiga stori za machaka kama hivi...
Au ni Jukwaa la Hoja za "kuchanganyikiwa"?Jukwaa la Habari na Hoja mchanganyiko
Huyu tupo pamoja nae hadi mapenzi yamuue
😂😂 why me?Kwa heshima na taadhima Strong and Fearless toa neno kwa mleta mada
AseeNiwape story,niliwahi date na mume wa mtu ,tukaachana kwasababu tu ya kushift mkoa lakini tukawa tunaendelea na mawasiliano japo kwa mwezi tunaweza kuwasiliana Mara chache,uyu kipindi tunadate aliwahi omba picha za uchi,lakini sikuwahi mtumia!!!! Sasa si mnajua kuna kumisiana Leo kaomba tena picha za uchi jamani nimepanga ni google nimtumie.