Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Ungependa sana IWe Kweli eee..! Akamatwe, atupwe lupango..! Ha ha haaa!! Leo ntainjoi Misukule kibao humu..! Ngojea nitafute desktop niupload video Yao Leo Nikate utumbo na ubishi wa misukule inayoshadidia Ishu Za chupini..!

utaumbuka bure na mwisho wa siku utaukimbia huu uzi..,
 
We TAMKO baada ya kuchwana kule kuwa Gwajima anahusika ndo unakuja kuanzisha uzi huku.....

Gwajima ndo injinia wa kuua ndoa ya Flora....Gwajima ndo alikuwa anamla Flora....

nimemuonya TAMKO kuwa ataumbuka hapa,, muacheni.
 
Last edited by a moderator:
We TAMKO baada ya kuchwana kule kuwa Gwajima anahusika ndo unakuja kuanzisha uzi huku.....

Gwajima ndo injinia wa kuua ndoa ya Flora....Gwajima ndo alikuwa anamla Flora....

Hata Pengo naye kamla sana tu!
 
Last edited by a moderator:
Ungependa sana IWe Kweli eee..! Akamatwe, atupwe lupango..! Ha ha haaa!! Leo ntainjoi Misukule kibao humu..! Ngojea nitafute desktop niupload video Yao Leo Nikate utumbo na ubishi wa misukule inayoshadidia Ishu Za chupini..!

Tunasibiri.....Kumbuka huku kuna wataalamu wa kujua kama video ni Bonefied Genuine...
 
Huyo ni msukule wa Gwajima....Kwa ufupi Gwajima ndo alikuwa anammega Flora.....
..
Mie naripoti nilichokiona tu jamani kosa langu lipi?!? Mtu Kama hupendi taarifa si unatimka tu
 
..
Mie naripoti nilichokiona tu jamani kosa langu lipi?!? Mtu Kama hupendi taarifa si unatimka tu

Tatizo lugha zako hazishabihiani na za mtu anayesali kamisa la 'kiroho' na anayewatetea 'watumishi'
 
Ndg. Emmanuel Mbasha (Mume wa Flora Mbasha) kwa kumbaka shemejie hata akijiteteta kuwa mkewe alikuwa anatembea na Gwajima hataeleweka kwa jamii, na inaonekana ni namna ya kujisafisha tu.
Muombe mkeo msamaha, mkapime UKIMWI muendelee na maisha
 
..
Mie naripoti nilichokiona tu jamani kosa langu lipi?!? Mtu Kama hupendi taarifa si unatimka tu

Ume-panic......Tulia....lete ushahidi na picha.......

Hakikisha ushahidi ulionao ni kweli pasi na shaka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…