Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

TAMKO ni msukule wa gwajima wahi nyumbani haraka ua-upload hyo video halfu tuone ukweli wake pia usisahau sehemu ambayo wametaja tarehe ya leo kwenye hiyo clip.
 
Last edited by a moderator:
Kama unayosema ni kweli mbasha aende mahakamani kushitaki hao wazushi na ukweli ujulikane.
 

Sasa wewe kuleta huu uharo ulikuwa unafuatilia mambo ya nani...???
 
siamini hata kidogo....nahisi wanataka kudanganya watu na kumaliza kimya kimya....
HUO NI UZUSHI
waseme tu wameamua kuua so
 
Nani ana shida ya kukudanganya Wewe?! Who are you Hadi mie sisi wote tuliokuwepo tuje hapa kukudanganya ili iweje..!? Watu bana..! Njoo HATA Jumapili ijayo utawakuta bana

Lete hiyo video bana....Una maneno mengi sana...
 
Kesho mtatujia na single ya vick kamata aombwa msamaha na mchumba wake wafunga ndoa kwa siri ha ha ha ha ha kweli bongo move nyingi.
 
Hajajiabisha alikua anatafuta kitu kinabana...loading error..
 
Nani ana shida ya kukudanganya Wewe?! Who are you Hadi mie sisi wote tuliokuwepo tuje hapa kukudanganya ili iweje..!? Watu bana..! Njoo HATA Jumapili ijayo utawakuta bana

Kama ni kweli wapo kanisani mbasha,flora au gwajima mmojawapo angekuwa ameshajitokeza kwenye vyombo vya habari kukanusha haraka maana inawaalibia heshima kwa jamii
 
Kaingia chaka huyo nabii wao mzee w papuchii kila kukicha kashfa kula wke za wa2
 
Mambo mengine bhana, hivi zile 200bilion zitarudi? Yule aliemtukana mfadhili Kule bungeni imekwendaje?
 
jamaa aliingia tama za mwili kumti.a shemejie sasa anatafuta chaka la kujificha. SEGEREA inakusubiri kaka Emma. tena ulivyo mrembo lazima uolewe huko. Halafu mkeo ndo atahamia kwa Mhusika. By the way kwani Gwajima hana mke?
 

mchepuko wangu masai dada umepita hapa?
 
Last edited by a moderator:
Ndg. Emmanuel Mbasha (Mume wa Flora Mbasha) kwa kumbaka shemejie hata akijiteteta kuwa mkewe alikuwa anatembea na Gwajima hataeleweka kwa jamii, na inaonekana ni namna ya kujisafisha tu.
Muombe mkeo msamaha, mkapime UKIMWI muendelee na maisha


Hawa ni wasanii tu wa Ze Comedy, chezeya nyege weye?....kila kukicha kupiga kelele na kumtaja Mungu bila sababu kupitia nyimbo zao za dini. Ikumbukwe binadamu yeyote anayejifanya ni mcha Mungu sana basi kuna kitu anakificha ila anatumia Mungu tu kurubuni watu/jamii na ndiyo maana mimi sizipendi hizi nyimbo za dini na wasanii wake. I will never look at muhubiri wa dini au muimbaji wa nyimbo za dini as a kioo cha jamii. Wote ni wasanii tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…