Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

jamani mwenye taarifa na The bold please................................

huyu mzee wa hummer na wenzake they are capable of anything

na huyu matumbo nae duh nahisi kizunguzungu wallah
 
Last edited by a moderator:
Naona ww TAMKO unajaribu kubadili upepo, sijui upo kitengo cha media ministry so umepewa kazi usiyoiweza ya kupiga propaganda ila muhimu ukweli tumeshaujua.

Go to hell.....
 
Last edited by a moderator:
Invisible kwa nini mmefunga post ya The bold


logo2.png

yaaani wameifunga saa 9usiku
 
Last edited by a moderator:
Atleast naanza kupata picha uhusika wa mtu kwenye issue hii...Kama nlivyokuwa nikidhani..
 
uduwanzi tu Flora anasema amesamehe kutoka moyoni mume wake hata kama califanya au hakufanya

ila ye anasisitiza mume wake kuripoti polisi eti mume wake haonekan na taarifa ni kwamba amekimbia

flora anasema hubby kakimbia??
 
kumbe wanairudisha na kuitoa hahhahahah
basi na wenyewe wanaifatilia

Unajua jana sikuufuatilia ule uzi tangu mwanzo.....Mida ya saa mbili usiku ndo nikaanza page ya kwanza........Nilikuwa macho mpka saa tisa hivi kasoro...

Mara kufika saa tisa na robo na refresh page zikagoma....Dahhh....Nikisikitika sana..
 
Mbasha nae anasema tuhuma ni za kutengenezwa kajieleza kiasi chake huko kwenye Mwananchi

Imma anatakiwa aseme yote kabla y kwenda police ila nabii wa vyupi na wake za wa2 aumbuke,kila ki2 kiko wazi na kasema hajabaka ila amwage ubuyu wote huyu mla sadaka aingie chaka na aibu tele
 
Hinishindi....Jana sikulala kabisa..

Huenda usalama wa The Bold ungekuwa matatani kama uzi ungeendelea kuwapo...

kama mimi tu nilikuwa nimeikuta njian nikawa nafatilia sijamaliza ikafungwa

the bold imebidi nikaview profile yake inaonesha hivi Last Activity Today 01:04

lets hope he is okay jaman
 
Imma anatakiwa aseme yote kabla y kwenda police ila nabii wa vyupi na wake za wa2 aumbuke,kila ki2 kiko wazi na kasema hajabaka ila amwage ubuyu wote huyu mla sadaka aingie chaka na aibu tele

dunian hakuna siri leo wengine tumeyajua uchafu wako.......

wanatumia dini kuficha maovu yao shabash zao
 
Back
Top Bottom