Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mi nimesikia ni Pengo
tuekee link plz
yaaani wameifunga saa 9usiku
they are evel wanaweza fanya maasi makubwa sana
nimekasirika sana halafu kuna mda clip inakuwepo mara haipo
nimekasirika sana halafu kuna mda clip inakuwepo mara haipo
Mbasha nae anasema tuhuma ni za kutengenezwa kajieleza kiasi chake huko kwenye Mwananchi
uduwanzi tu Flora anasema amesamehe kutoka moyoni mume wake hata kama califanya au hakufanya
ila ye anasisitiza mume wake kuripoti polisi eti mume wake haonekan na taarifa ni kwamba amekimbia
kumbe wanairudisha na kuitoa hahhahahah
basi na wenyewe wanaifatilia
flora anasema hubby kakimbia??
Mbasha nae anasema tuhuma ni za kutengenezwa kajieleza kiasi chake huko kwenye Mwananchi
Hinishindi....Jana sikulala kabisa..
Huenda usalama wa The Bold ungekuwa matatani kama uzi ungeendelea kuwapo...
Imma anatakiwa aseme yote kabla y kwenda police ila nabii wa vyupi na wake za wa2 aumbuke,kila ki2 kiko wazi na kasema hajabaka ila amwage ubuyu wote huyu mla sadaka aingie chaka na aibu tele