Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

khaaaaaaaa hiii ni hatari wachungaji ni nomaa wanachunga huku wanajichinjia kondoo aliyenona
 
Jamani! Kwani Mchungaji wa watu Gwajima anaingiaje tena hapo??? naona kama mnaleta habari mpya tena...

utazungukaje na utampekekaje shuleni mke wa mtu bila ridhaa ya mme wake?
 

Asante Sana kwa tuliokuwa gizani, hongera kwa taarifa hizi.
 
Huyo Mbasha ni mbakaji tu, kama hakutenda kosa hilo kwanini alikimbia?? Mvua 30 zinamhusu tu...
Hilo kosa hata kama umesingiziwa likikutokea unatakiwa kujipanga kwanza (kukaa mafichoni kutafakari) maana Tanzania kwa mambo ya ubakaji huwa tunatumia zaidi mantiki na kila mwanajamii atakuchukulia wewe ndio mhusika na hata treatment yako inakuwa ni ya kibakajibakaji na hata ukishinda kesi bado macho yetu yatakuwa na doubt na wewe.

Ila na huyo mrembo nae, mpaka kwenye gari akawa ametulia tuli wakati kwenye gari kama tukio hulipendi bila kupiga kelele tu gari litakuwa linatikisika sana kutokana na wewe kuwa against nae na hasa ukizingatia pozi la kwenye gari kwa kugegedana linahitaji utulivuna mrembo mwenye kukaa pozi la utayari unless kama gari ilikua Hiace au Bus lakini kama ni salon car
 
Hii story nilipata kuambiwa na jamaa yangu nikadhani labda anataka kumkinga mume wa Florah kiana lakini baada ya kusoma bandiko lako mara mbili mbili nikiunganisha na yule Nabii aliyezaa na mke wa mtu halafu akamfanyia zengwe afukuzwe nchini naanza kupatwa na mashaka na hawa maaskofu,manabii na mitume wanaojitukuza wenyewe badala ya Mungu.
 

Kauli nzito sana na ya kusisimua.
Flora Mbasha anashauriwa sana alitazame sana suala hili kabla Mwenyezi Mungu hajaanza kupekua kurasa za issue nzima.
Kwa uzoefu wangu mdogo, Mungu anapoliliwa a mtu anyeonewa , hujibu , tena bila kificho au utatanishi.
 
sasa na ile Audio tuliyowekewa humu tukaisikia mbona jamaa kama anakiri kubaka?
 
Kumbe ndivyo yalivyo makanisa yetu yanaifanya ya kiroho!!! maana kule kwa Mwingira naye watoto wa nje ya ndoa kibao. Na zulumati wa mali za watu. Wakristo ni wakati umefika mbaki katika makanisa yenu ya awali. Huko mnakokimbilia kwa watumishi wa uongo mnaangamia zaidi.
 
Hii movie ina mkanganyiko mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…