Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nadhani umekaribia kuitwa mbinguni.. Haya jiandae wiki Lako limebakia moja tuu.. Sijui utasema Nini huko Juu Na UONGO HUU..
Jamani! Kwani Mchungaji wa watu Gwajima anaingiaje tena hapo??? naona kama mnaleta habari mpya tena...
Story inaendelea kma ifuatavyoMoses Kulola ni mchungaji wa kwanza wa kilokole Tanzania
Iko hivi wakuu..
1. Kisa cha mbasha kubaka" (Sitatoa kila detail ili kulinda identity
yangu)
Kabla sijaanza kueleza kisa hiki ni vizuri niwaeleze kidogo kuhusu
Intellijensia ya Gwajima jinsi ilivyo...
pale kanisani kwake wanavitengo mbali mbali amabvyo wenyewe
wanaviita ministries' na katika ministry hizo zipo mbili ambazo ni
muhimu zaidi i) Media ministry ii)
Security ministry (hii huwa wanaiita mashujaa' wa Daudi)...
Media - Ministry kazi yake ni kulitangaza kanisa mitaani na
kwenye vyombo vya habari, kueneza
propaganda' ya kanisa na mambo mengine yanayofanana na hayo.
Security Ministry - kazi yao ni kumlinda Gwajima.! Kama umewahi kufika pale kanisani utakuwa
umewahi kuwaona huwa wanavaa suti nyeusi na miwani nyeusi (kama secret service wa marekani).. wale jamaa usiwachukulie poa, majamaa wale ni wanajeshi na polisi wastaafu na wengine bado wapo kazini..
Sasa huduma hizi mbili zinaunda kitu kama USALAMA WA TAIFA"
wa kanisa la Gwajima..
Turudi kwenye topic sasa....
Ni ukweli ambao ulikuja kubainika hivi karibuni kuwa Mr. Mbasha ana
mahusiano ya kimapenzi na shemeji
yake (kwa muda mrefu kidogo) na habari hii ikamfikia mpaka florah..
kipindi hiki florah bado anakaa hoteli! Suala hili florah aliwaeleza watu wachache sana wa karibu na likabakia kuwa siri.. lakini sisi wengine tikuwa tunalifahamu muda mrefu tu!
Kuna watu wakamshauri florah amuhoji mmewake na florah akauchukua huo ushauri akaenda
kumuhoji Mr.
Unaambiwa jamaa
aling'aka balaa na akakataa kata kata kuwa hana mahusiano na
shemejiye! Basi katika majibizano mara jamaa akaropoka kuwa mbona
hata yeye anafahamu kuwa florah ana mahusiano na Gwa**** lakini hasemi chochote!
Weeeeee ilikuwa balaa maana hicho kilikuwa kijikikao fulani hivi na ndugu kadhaa walikuwepo basi kila mtu akashikwa na bumbuwazi!!!
Unaambiwa flaorah
hakusema chochote akaanza kulia akainuka akaondoka!! Na baada ya hapo hata simu za mbasha akawa hapokei...
Inasemekana taarifa zikamfikia mchungaji wao Gwajima, basi Gwajima akamuita ofisini jamaa akakataa kwenda! Sasa katika hizo purukushani za kuwasuluhisha jamaa kuna siku akatishia kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano ya huyo mchungaji na mkewe florah!! Nahisi hapo ndipo alipojiroga..
KESI YA KUBAKA
baada ya mrafaruku kutokea jamaa akawa dizaini kama amesitisha mahusiano na shemejiye na hapa kati alikuwa hakai nyumbni kwa florah.. lakini inavyoonekana mchungaji alitishwa sana na mkwara wa jamaa kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano yake na mkewe... binafsi nahisi mipango ikaanza kusukwa na binti akasetiwa kwa ajili ya operation tokomeza'!!
Juzi juzi hapa kabla ya tukio kutokea ndio huyu binti amerudi kwa florah akijua wazi kabisa dada take hayupo! Na kama ujuavyo muonja asali aonji Mara moja, jamaa kuona mzigo umerudi basi ikabidi wakumbushie enzi!
Sitaki kumaliza huondo wote lakini tujiulize maswali haya!!!
1. Hivi kubaka ndio inakuwa hivi?
Ni ijumaa mko nyumbani peke mnamaliza kula mchana mnakaa sebuleni mnapiga stori mizuka inapanda mnaamua kuibanjua amri ya sita! Kesho yake jumamosi anakuja mgeni mnakuwa wapole tu, mnavunga mnaitana shemeji! Alafu kesho kesho yake jpili mnatengeneza mazingira ili muondoke peke yenu wawili!
Mnafika mahali fulani ubungo mnapaki gari mafichoni mnaanza kuibanjua amri ya sita! Mnatoka hapo mnaenda kanisani mnatabasamu kabisa ibada ikiisha mnatengeneza tena mazingira ili muondoke peke yenu! Mnafika kisehemu chenu mnapaki tena gari mnabanjuka! Halafu eti
amebakwa???????
Swali la pili la kilujiuliza!
Kwanini huyu binti baada ya tukio kutokea akawapigia simu bodyguards wa Gwajima ambao walienda kumchukua na kurudi nae nyumbani kwa gwajima??? Alafu eti hawa bodyguards ndio wanaanza kuwapa taarifa ndugu za florah!!
Kwanini apige simu kule??
Kwanini hakuwapigia simu ndugu zake kwanza?????,anapotezwa huyu!
Nimesend kama nilivyo receive
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Hilo kosa hata kama umesingiziwa likikutokea unatakiwa kujipanga kwanza (kukaa mafichoni kutafakari) maana Tanzania kwa mambo ya ubakaji huwa tunatumia zaidi mantiki na kila mwanajamii atakuchukulia wewe ndio mhusika na hata treatment yako inakuwa ni ya kibakajibakaji na hata ukishinda kesi bado macho yetu yatakuwa na doubt na wewe.Huyo Mbasha ni mbakaji tu, kama hakutenda kosa hilo kwanini alikimbia?? Mvua 30 zinamhusu tu...
Jamaa yupo maana last activity naona yupo baada ya muda si mrefu...
Join Date 7th May 2013 Last Activity Today 09:58 Avatar![]()
afadhali kama yupo.Jamaa yupo maana last activity naona yupo baada ya muda si mrefu... Join Date 7th May 2013 Last Activity Today 09:58 Avatar![]()
Hata mimi nadhani kitengo cha Media kimeshaingia humu....
Jamani! Kwani Mchungaji wa watu Gwajima anaingiaje tena hapo??? naona kama mnaleta habari mpya tena...
![]()
Mimi sijabaka na sijawahi kubaka; sijatenda dhambi yoyote; sijafanya kitu chochote na kibaya haya mambo yote ni ya kusingiziwa tu. Mungu wangu ni shahidi. Na kwa kuwa sijafanya hiyo dhambi kama wanavyodai, basi Mungu wangu atanitetea, alisema Mbasha
Swali zuri....porojo kibao kwa nini haendi polisi uku akiwa na muda wa kuongea na mwandishi? haya majangiri yanayojificha nyumma ya injili yamulikwe.
Ile clip ni ya uongo. sio sauti ya mbasha. watu wabaya jamani!!!