Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Matokeo ya vipimo ambavyo vilifanywa na daktari kung'amua kama binti huyo aliingiliwa vinaonyesha kuwa kulikuwa na mbegu utokaji wa mbegu usio wa kawaida (HVD).
Kazi ipo!! Watafanyaje ili kuupata mshabihiano wa hizo seeds!! (I mean mfanano kati ya zile zilizoko Amana na hizo anazokimbia nazo mtuhumiwa)
Yule binti alitumwa...hivyo ili apate ushahidi ilimlazimu amrubuni jamaa amwingilie mfululizo ili shaahawa zimjae ndiyo apate ushahidi mzuri kwa daktari " Shahawaa utokaji wake usio wa kawaida" Duh....hatareee