Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Kila kitu kinapotokea Mungu huwa na sababu yake. Inawezekana tukio hili limetokea ili ukweli uwekwe hadharani kwani Mungu amechoshwa na matendo yetu dhalimu.

Inawezekana ikawa mwanzo wa mwisho haya mauzauza tunayoshuhudia kila siku iitwayo leo.
 
Yule binti alitumwa...hivyo ili apate ushahidi ilimlazimu amrubuni jamaa amwingilie mfululizo ili shaahawa zimjae ndiyo apate ushahidi mzuri kwa daktari " Shahawaa utokaji wake usio wa kawaida" Duh....hatareee


Nasubiri kusikia technology itakayotumika ili kupata sampuli wianishi/fananishi
 
Ni tatizo sana kuolewa na mwanaume anaekuzidi uzuri lo,hapo sasa atasingiziwa Shetani heloo

Mbona mimi naona mwanamke (Flora) ndo kamzidi mwanaume umri. Uki-interchange ndevu basi huyo Ema ataaoneka Queen hata avartar yako haitaona ndani, ebu pitia tena picha yao.
 
Jamaa alikuwa hajagegeda siku nyingi kwa vile mkewe kahamishiwa GESTI, ndio maana "sperm count" imekuwa kubwa sana. Huenda sio mtu wa michepuko sana ndio maana akashindwa kutafuta "vya kuchinja" akaishia kwenye "vya kunyonga"

Jamaa hajambaka huyo Demu pengine walikuwa wapenzi kitambo,lakini huyo Binti baada ya kupewa Pesa na Gwajima na Frola akatengeneza Mchongo wa hatari pasipo kujua hatari yake, yawezekana Binti alipitia kwa Boy friend wake akafanya mapenzi bila kinga au alifanya na mbasha ikiwa ni Kama kawaida Yao au kuna Mtu alisetiwa maalum ili kutengeneza Ushahidi wa mbegu za kiume ! Hii kesi ukiichunguza kiundani kabsa inaonekana ni Kesi ya kutengeneza, ni kesi yenye nia ya kumpeleka Jela mbaya ili Gwajima atanue na kujiachia na mkewe Frola. Ugumu wa kesi utakuja pale Rushwa inapomeza Haki , kumbuka Mbasha ni Masikini na Gwajima ni Tajiri je? Kuna Haki hapo ? Tafakari !
 
Yule binti alitumwa...hivyo ili apate ushahidi ilimlazimu amrubuni jamaa amwingilie mfululizo ili shaahawa zimjae ndiyo apate ushahidi mzuri kwa daktari " Shahawaa utokaji wake usio wa kawaida" Duh....hatareee

hahahahahaaaaaaa nimecheka sana lol
 
Yule binti alitumwa...hivyo ili apate ushahidi ilimlazimu amrubuni jamaa amwingilie mfululizo ili shaahawa zimjae ndiyo apate ushahidi mzuri kwa daktari " Shahawaa utokaji wake usio wa kawaida" Duh....hatareee

Umetisha mkuu.
 
Huyo Binti hakubakwa Bali kapewa Mkwanja ili atumike tu Kama daraja la kumpeleka Gerezani Mbasha kisha Gwajuma apate nafasi ya kula Tunda na Frola pasipo na Bugudha, kumbuka Mbasha alikuwa kikwazo kwa Gwajima baada ya kumpeleka Frola London Kisha alipoludi wakazunguka nae mikoani pasipo na ridhaa ya mbasha, unaelekea Gwajima amekolea sana kwa Frola kiasi kwamba ameshindwa kujizuia matokeo yake kaja na Vioja Kama hv !
 
ama kweli hii movie itawapa kick waachen wajinga waendelee kufatilia ha ha jama kaachia had audio. ya msamaha hii ilishapangwa
 
Nasubiri kusikia technology itakayotumika ili kupata sampuli wianishi/fananishi

Hii Ndio Tanzania kila kitu kinawezekana wakitaka Ziwe mbegu za Mbasha zitakuwa zake tu,hata Kama yule Binti alilala na Mhindi bila kinga zikatoka mbegu,watasema Vipimo vinaonyesha ni Mbasha tu, Kumbuka Pesa ndio inaongea Gwajima ana Pesa na Mbasha Hana kitu , Wakitaka wapate matokeo ya Ukweli labda huyo Binti akapimwe Ulaya kule DNA zao zinatenda Haki, lakini hapa Bongo ni Full magumashi mwenye nacho Ndio mwenye Haki , masikini Hana Haki.
 
Reactions: Sal
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…