Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mdogo yupi?? Yule aliyekuwa amesambaza clip anafanya ngona na Ngasa au mwingine?? Kama ni yule basi anatafuta kick nyingine baada ya yale ya clip ya ngono kusahaulika.
 
Mdogo yupi?? Yule aliyekuwa amesambaza clip anafanya ngona na Ngasa au mwingine?? Kama ni yule basi anatafuta kick nyingine baada ya yale ya clip ya ngono kusahaulika.
Sidhani kama yule ana miaka 17 ila taarifa kamili linamuhusu huyu jamaa.
 

soma heading ya gazeti mwananchi- imeandikwa Mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye. huelewi nini hapo sasa.??????

shusho anaishi tabata chang'ombe na
mbasha anaishi tabata kimanga
ambapo ndo pamezungumzwa. acha
kudandia train kwa mbele
KITAIFA
Mume wa mwimbaji wa Injili
adaiwa kumbaka shemejiye
Posted 11 hours ago
>Mume wa mwimbaji maarufu wa
nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi
kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka
shemeji yake mdogo (17)....
link. http://www.mwananchi.co.tz/
habari/Kitaifa/Mume-wa-mwimbaji-
wa-Injili-adaiwa-kumbaka-
shemejiye/-/1597296/2328802/-/
imd7fy/-/index.html
 
.....tatizo jamaaa hakutekeleza ahadi....keshamla sana tuu....
MMmmmmmh Nosspass!! una uhakika lakini? Ila jamani hii dunia imebadilika sana, hivi huyo anayembaka shemejie haoni aibu? Angekuwa ni mdogo wake wa kike kafanyiwa hivyo angejisikiaje? Ila tusiangalie shilingi upande mmoja, labda shemeji mtu mavazi, mwonekano ulikuwa kimtegomtego, maana hawa mabinti wa sasa hivi ni full majanga. Labda vaa ya shemeji, zungumza na ukaribu na shemeji ulileta matamanio kiasi shemeji akashindwa kuhimili. Natoa ushauri wa bure: Mnaoishi kwa madada zenu walioolewa, jiheshimuni sana hakika shemeji yako hatokukosea adabu. Unakuta dada yako hayupo wewe unaamka na kanga moja tena ya India, huna ch...pi unapita sebuleni unaenda kwa bathroom unatikisa makalio mbele ya shemeji yako, unategemea atakuangalia tu yeye ni kaka yako? Sometimes nyie kina dada mnaoishi kwa masheji zenu ndio chanzo cha yote haya. Ila usipojiheshimu kimavazi, maongezi, muonekano, lazima utaliwa tuuu!!
 
Ndugu mwandishi, High vagina swab ...ni kipimo! So dr ameandika kipimo hajamaanisha alibakwa na kupata maumivu makali !
 
myself nimewaza hivyo.. Ila mbona mkewe mrembo sana?

kweli mkewe ni mrembo, ila mboga moja kila siku inachosha, ndo maana jamaa katafuta ladha ya dagaa wa kigoma kama tamu au la.
 

Emmanuel mbasha.
 
myself nimewaza hivyo.. ila mbona mkewe mrembo sana?

Kama suala ni urembo, basi huyo shemejiye atakuwa mrembo zaidi!

Mkuu, hisia nazo zina akili zake tofauti na akili za kawaida. Hushangai watu wanabaka hata wehu?
 
hapa ndipo shetani anapoamua kujiinua watu wake tukaendelea kuishi kwa imani ndogo....hope sio kweli duuuuuh
 
Dar es Salaam. Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).

Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule), zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba alimbaka binti huyo mara tatu na kumsababishia maumivu makali.

Binti huyo alifika katika kituo hicho cha polisi akiwa na ndugu zake wawili ambao walilalamika kwamba kulikuwa na jitihada kubwa kutoka upande wa mtuhumiwa wa kuzima kesi hiyo.

Akizungumza na gazeti hili nje ya kituo hicho, binti huyo alisema shemejiye alimbaka mara ya kwanza, Ijumaa iliyopita na Jumapili alipombaka mara mbili ndani ya gari.

Alisema mara ya kwanza alikaa kimya baada ya mtuhumiwa kumtishia kwamba angemdhuru kama angetoa taarifa ya tukio hilo alilofanyiwa wakiwa sebuleni nyumbani kwako Tabata Kimanga, lakini aliamua kutoa taarifa kwa ndugu zake baada ya kubakwa mara ya pili.

Polisi katika kituo hicho walithibitisha kupokea taarifa za tukio hilo lakini walishindwa kwenda kumkamata mtuhumiwa kwa maelezo kwamba hawakuwa na askari wa kutosha na kuahidi kwamba angekamatwa jana. Hata hivyo, hadi jana mtuhumiwa huyo alikuwa hajakamatwa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi kutwa nzima ya jana hakupatikana kuzungumzia tukio hilo na kila simu yake ilipopigwa (kati ya saa nane mchana na saa mbili usiku), ilipokewa na msaidizi wake akisema bosi wake ana kazi nyingine.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema hakuwa amepokea taarifa yoyote ya aina hiyo.

Mwimbaji anena

Alipoulizwa jana, mwimbaji huyo alisema kwa sasa hawezi kuzungumzia kwa undani tuhuma zinazomkabili mumewe na kwamba alikuwa anajisikia vibaya kutokana na tukio hilo kuhusisha watu wake wa karibu.

“Of course (bila shaka), hili sio tukio zuri. Kwa sasa sina uwezo wa kuzungumza kwa sababu hili suala lipo Polisi. I am confused (nimechanganyikiwa), ukizingatia kwamba linasemekana kutokea wakati sikuwepo nyumbani, naomba tuzungumze baada ya akili kutulia,” alisema.

Kadhalika, jana saa 6:20 mchana, gazeti hili lilifanikiwa kuzungumza na mtuhumiwa ambaye baada ya kupewa maelezo kuhusu tuhuma zinazomkabili alisema: “Samahani sana ujue sikusikii kabisa,” kisha alikata simu.
chanzo Gazeti la Mwananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…