Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

sitomlaani jamaa mpaka pale utakapo patikana ushahidi yakinifu usio na shaka yoyote kwamba ni kweli kamla shemeji yake. Nasema hivi kwakuwa familia ya upande wa mke inaonekana uadilifu wao ni wa kutilia shaka, juzi kati hapa ilisambazwa video ya mrisho ngassa akimgegeda mdogo wake Flora. Vyovyote inaweza kuwa huenda huyo bi dada alikuwa anamtaka shemeji yake na mara baada ya shemeji yake kukataa bi dada akaamua kumsingizia amembaka... nasubiri ushahidi yakinifu! bongo wasanii wengi sio akina wema peke yao.
 
kula mama mkwe,kula hauzgel,kula shemeji,jirani,rafiki wa mke wake,sister,vijanafunzi vya primary,sekretari wake khaaa!! Ntajaza seva!!

Jaza mama seva...eeh endelea basi???
 
Ndugu vip..
Una-quote story nzima halafu unaandika just TW0 WORDS. Kwanini usingepunguza hy quote, unachosha wasomaji. Kuwa mstaarabu kdg.

Uliambiwa usome yote? Kama uliisoma mwanzo ulikuwa na haja gani kuisoma yote? Wewe ndio mstaarab kwa kushauri pumba.
 
Dada, ubaya hauna dini, ubaya hauna kabila, tena ubaya hauna jinsia; hukumbuki sakata la 'mtoto wa boksi' linaloendelea sasa? Aliyefanya hilo ni jinsia gani?

Hata simjui huyo mtoto wa boksi
 
Dah kama ni kacheza chachandu sio kalienda kumharibia ndoa mwenzie haka? Akiwa hayupo kalifata nini? Mungu amsaidie Flora ni majaribu!

majaribu hayana budi kuja, na kila jaribu lina njia ya kutokea...
Ila daaa, ngumu kumeza kweli.

Wako wapi kinamama waombolezaji waombee familia na ndoa za sasa. Mitihani mingine mmmmmmmmm
 
attachment.php

Laiti jamaa angekuwa hana ndevu, ungeweza kusema yeye ndio mke na huyo wa kushoto ndiye mume.
 
Sasa mheshimiwa wetu #Vicky Kamata atapata ahueni.. habari hii itapoteza sana ishu yake.

We dance according to the tune!
 
acha ujinga unapoambiwa kosa usahishe na ukubali.

Wenye simu wanapata shida ku scrow down

Kwa hiyo ulitaka nifute au? Ujinga ni yeye anashauri then anaweka maneno yake ya shombo hatuko bungeni hapa. Unaongea point the unakaa kimya kama mtu mstaarab. Hayo maneno aliyomalizia nayo ndio yamefanya hata akichoongea kionekane pumba hata kama alikuwa na nia nzuri. Sio wote wanajua aache shobo
 
ngoja tuone kama sheria itachukua mkondo wake...au kama kawaida ya wanandoa kubebeana mizigo na kuyamaliza kifamilia!!
 
TETESI: kuna mahala nimeona sasa hivi kuwa kuna msemaji wa familia ya Flora Mbasha kazungumza na redio 1 sterio mchana huu na kukanusha habari hii; kwa kueleza kuwa ni mpango ulisukwa kuwachafua.

KAMA KUNA ALIYESIKIA ATUJUZE jamani.
 
Kwa hiyo mdogo mtu alisuka mipango kumchafua dadake na shemeji yake au?
TETESI: kuna mahala nimeona sasa hivi kuwa kuna msemaji wa familia ya Flora Mbasha kazungumza na redio 1 sterio mchana huu na kukanusha habari hii; kwa kueleza kuwa ni mpango ulisukwa kuwachafua.

KAMA KUNA ALIYESIKIA ATUJUZE jamani.
 
Back
Top Bottom