kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Huyu kwanini anaishi Hotelini,mi navyojua wanawake wengi wakizinguana na waume zao wanaenda kwanza nyumbani kwa wazazi
Aende kwao?na GWAJIMAN amuachie nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kwanini anaishi Hotelini,mi navyojua wanawake wengi wakizinguana na waume zao wanaenda kwanza nyumbani kwa wazazi
Bas siku iz anajiona malkia kila sehem yeye, na angekuwa mzur sasa, sura nzito kama tope la uyole
inaonekana anakwepa kwenda nyumbani maana hawatamwelewa au jamaa alishapeleka malalamiko huko siku nyingi,ikabidi amegwe kibingwa na gwajimaAende kwao?na GWAJIMAN amuachie nani?
Series ya ngapi hii?
Am sorry to say this woman is stupid oh!
Huyu kwanini anaishi Hotelini,mi navyojua wanawake wengi wakizinguana na waume zao wanaenda kwanza nyumbani kwa wazazi
Unless kama anazungumzia polisi wa Marekani na namba aliyopiga ni 911.
Hao 'watu wabaya' walishindwa hata kuruka fensi hadi waombe wafunguliwe geti?
Utoto mtumpu.