Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Kiukweli bila kuhukumiana maana wengi tu wadhambi,wazinzi wa kila namna n.k....mwana ndoa kumfanyia hivi mzazi mwenzio uliyelala nae kitanda kimoja kwa miaka zaidi ya 10....uliyeshiriki nae shida na raha zote....alafu ukaamua kubariki hatua kama hizi kwa mke/mmeo hata kama si wewe moja kwa moja....lazima uwe na roho ya aina yake.......


Nimeangalia picha za jamaa pale mahakamani inatia huruma sana.....sijui Flora anajisikiaje!! What ever the mistake done......wana ndoa wanazo namna ya kumaliza tofauti zao na hekima na mapenzi ya kweli Flora alipaswa kusimama kizimbani na mme wake........ndio ndoa....ndio kufa na kuzikana......ndio kuvumiliana....nyie ni mwili mmoja....ndio maana mnakaa uchi kila mmoja akimjua mwenzake na kusitiriana.....ndio maana zipu ya baba ikisahaulika kufungwa mke anakimbilia kumsitiri mume.........hakuna namna ya Flora kujitetea kwa namna alivyoshughulikia swala la mume wake na kumuanika kwenye vyombo vya habari.......Flora unajua mama na baba yako wamefichiana mangapi? vipi baba yako angeishia jela kupitia mikono ya mama yako kwa issues kama hizi? kwanini ufanyie hivi watoto wako ambao huyo ni baba yao?


Kwanini zimekosekana kabisa hekima kumaliza hili.....sawa wengine mtamuita Gwajima majina yote lakini ni mtumishi wa Mungu na hawa ni kondoo wake tena wakaribu sana....kwanini haikutumika hekima kuhoji na kusuluhisha ikibidi hata kwa kutumia wachungaji ambao Emma anaweza kuwa na imani nao?
 
Amempa ukweli wake kabisa,huyo Flora ikiwezekana ni wakuwekewa sumu ya panya kabisa a pass away
 
Kila binadamu nimkosaji ila makosa yanatofautiana piga picha nimtoto wako kabakwa au Dada yako kabakwa baya zaidi uko katika hali ya umasikini ndiyo imekusababisha ubakwe je ungekuwa katika hali gani? Ubinadamu unakikomo cha uvumilivu
Mdhambi yoyote anahaki ya kuhukumiwa kama amekosa anastahili adhabu hii nikwayoyote yule awe babu seya na watoto wake au mwingine yeyote mkosefu anastahili adhabu
Mbasha kama amebaka adhabu yake nikifungo hii haihusu huruma ya mke pia kama mke anatembea na Ngwajima naye hukumu yake ya uzinzi ipo pale pale kwa mungu wetu mwenye kuhukumu sawa sawa na makosa yetu
 
Kuvumiliana ndo msingi wa ndoa
 

Attachments

  • 1403188314238.jpg
    39.2 KB · Views: 618

Mkuu ngoja nikuulize swali upo kwenye ndoa? Kama upo ujue mwenzio katika ndoa anategemea utasimama upande wake katika mazuri na mabaya na utakuwa wa mwisho kumwacha ktk shida yake. Ndio maana ya "nikupende, nikutunze, nikutulize ktk shida na raha mpaka kifo kitutenganishe" Maneno haya wote Flora na mumewe waliyasema siku waliyofunga ndoa. Kama walisema tu ili wawahi kula wali na kulala, well, ndio yanayotufanya tumlaumu Flora.
Kwa maantiki hii Flora alipaswa kuweka pembeni ugomvi wowote waliokuwanao akasimama upande wa baba wa mwanaye , mume wa ujana wake. Lakini kuna mahali amenukuliwa akisema alikuwa hajui kama Mbasha amekamatwa. Ina maana alikata mawasiliano yote na mumewe! Kweli!!!?
..Halafu mkuu , ukumbuke Kuwa Mbasha bado mtuhumiwa tu wa ubakaji. Bado haijathibitika kuwa amebaka. Itakapothibitika amebaka, basi sheria itachukua mkondo wake. Na hata Flora anaweza sasa kuchukua uamuzi wowote.
Ndoa ndoana mkuu, ukiimeza tulia tuli, ukijitingisha kwa nguvu ndoana inavuta utumbo nje.
 
Huyo ni mchungaji mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima. Linaendesha ibada zake pale kawe Tanganyika parkers. ......anatuhumiwa kutembea na waumini wake akiwepo flora mbasha.
 

Ndugu zangu mnatafsili shida na raha mjuavyo nyinyi. Ila shida au tabu inayozungumziwa ni UMASIKINI,UGONJWA na halo kama hizo siyo uzinzi kwa bahatimbaya biblia imekaa kinywa kwa mwanaume mzinifu ila kwa mwanamke biblia iko wazi "mwanamke ataachwa na mmewe kwakuzini na mwanaume hataruhusiwa kuowa" hii nibaada yakumfumania mkewe kazini. Pia Mimi sijasema mbasha anakosa laa ila kama mkewe anaushahidi basi anahaki yakumtenga jambo lakusamee nihiari ya MTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…