Hayuu
Senior Member
- Jun 1, 2014
- 140
- 35
... Hayuu, usidhalilishe kitafunwa chetu pendwa mkuu! Maandazi is a thousand times better than this stupidity...!!
Sawa babadesi kumbe hata maandazi yamemzidi duuuuu amekwisha basi kantangazeeeeeeeeeeee!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... Hayuu, usidhalilishe kitafunwa chetu pendwa mkuu! Maandazi is a thousand times better than this stupidity...!!
Teh teh be patient bbna
Ndugu hii ni tuhuma nzito sana. Una uhakika na unayosema?amekumbuka na anatamani kumkimbia mume wake kama mama yake alivyomkimbia mumewe mwanza na anapiga umalaya morogoro. Huyu naye anataka awe free apige umalaya vizuri
Ndugu hii ni tuhuma nzito sana. Una uhakika na unayosema?
Nimekuelewa ila nadhani 100% bado iko juu sana hasa ikiwa msingi wa taarifa hizo ni kuambiwa na waumini. Kuna haja ya kuchanganya na za kwako. Ila kama na wewe ni mmoja wa mashuhuda then 100% iko sawa.100% mwulize kila mwumini wa kanisa la EAGT Mwanza atakwambia hivi hivi
Nimekuelewa ila nadhani 100% bado iko juu sana hasa ikiwa msingi wa taarifa hizo ni kuambiwa na waumini. Kuna haja ya kuchanganya na za kwako. Ila kama na wewe ni mmoja wa mashuhuda then 100% iko sawa.
Daa kazi ipo !
Huko wanako kuita ''MBINGUNI'' sijui nani atafika !
yaani watu bana, wengine wanataka aeleze kwenye press akieleza wanasema hana hekima.. yaani you cant please men.frola hana hekima kabisa uwezi ongea haya maneno mbele ya wahandishi wa habari
Kwa wasiomjua Gwajima ndio huyu hapa
[video=youtube_share;McLg1nFrzQs]http://youtu.be/McLg1nFrzQs[/video]