Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

... Hayuu, usidhalilishe kitafunwa chetu pendwa mkuu! Maandazi is a thousand times better than this stupidity...!!

Sawa babadesi kumbe hata maandazi yamemzidi duuuuu amekwisha basi kantangazeeeeeeeeeeee!!!!!
 
Natamani ningepata muda wa kutoa ushauri uso kwa uso na hawa wapendwa. Shetani hubambikwa vitu vingi sana - kama hili. Hakuna aliyelogwa au kupagawa - Hawa na Adamu hawajushikiwa kisu na shetani kumuasi MUNGU, walishawishika na kwa hiari zao wakakaidi agizo tskayifu. Flora jiulize haya; Una mchango gani katika mumeo kukukasirikia hadi kutaka kukuua? Amepata wazimu - sitaki kuamini hivi. Ever reaction is a response to an action! Tatizo la unyumba litamalizwa na wanandoa wenyewe, siyo Gwajima au propaganda kwenye vyombo vya habari. Kwa taarifa yako "smear campaign" inaweza kukuchafua mwenyewe. Tulia, jihoji - umechangi kiasi gani kumfanya kumfanya mwenzio atende kosa? Kidole kimoja huonesha mwenzio kakosa, lakini vidole vitatu vinakusonda wewe kuwa umsababishia kukosa mara 3 na kidole kimoja kinaelekea mbinguni kuwa MUNGU ni shahidi. Soma hapa "Na Mungu mwenye saburi na faraja awajalie kunia mamoja ninyi kwa ninyi, kwa mfano wa Kristo Yesu; ili kwa moyo mmoja na kwa kinywa kimoja mpate kumtukuza Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo. (RUM. 15:5, 6 SUV)


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
amekumbuka na anatamani kumkimbia mume wake kama mama yake alivyomkimbia mumewe mwanza na anapiga umalaya morogoro. Huyu naye anataka awe free apige umalaya vizuri
Ndugu hii ni tuhuma nzito sana. Una uhakika na unayosema?
 
100% mwulize kila mwumini wa kanisa la EAGT Mwanza atakwambia hivi hivi
Nimekuelewa ila nadhani 100% bado iko juu sana hasa ikiwa msingi wa taarifa hizo ni kuambiwa na waumini. Kuna haja ya kuchanganya na za kwako. Ila kama na wewe ni mmoja wa mashuhuda then 100% iko sawa.
 
Nimekuelewa ila nadhani 100% bado iko juu sana hasa ikiwa msingi wa taarifa hizo ni kuambiwa na waumini. Kuna haja ya kuchanganya na za kwako. Ila kama na wewe ni mmoja wa mashuhuda then 100% iko sawa.

ninajua issue yote....ukiambiwa utashangaa kama si kusikitika. hata actors wote nawafahamu.
 
we jamaa umemkomalia Gwajima.. kwani we ndio ulianzishaga ishu za dengue
 
frola hana hekima kabisa uwezi ongea haya maneno mbele ya wahandishi wa habari
yaani watu bana, wengine wanataka aeleze kwenye press akieleza wanasema hana hekima.. yaani you cant please men.
 
Kwa wasiomjua Gwajima ndio huyu hapa

[video=youtube_share;McLg1nFrzQs]http://youtu.be/McLg1nFrzQs[/video]
 
Kwa wasiomjua Gwajima ndio huyu hapa

[video=youtube_share;McLg1nFrzQs]http://youtu.be/McLg1nFrzQs[/video]

Umemsikia mch.lusekelo a.k.a Mzee wa upako Jana channel 10.alikuwa anamponda gwajima kama ni msanii.say something
 
"Ukiiangalia vizuli hii picha utagundua kitu katika macho ya Frola Mbasha kuna kitu nakiona kinejificha lakini sasa hivi kimeshajitokeza tayali.....hicho kitu ndicho kilichompeleka jera mbasha na asipokuwa makini anaweza asiwe uraiani tena kama ulivyowatokea familia ya nguza .namaanisha mzee nguza na papii kocha wako wapi?

Kiukweli Frola una roho mbaya ya mwisho kabisa ilichanganyika na ukatili wa mwisho kabisa kiasi kwamba nashindwa kuelewa umeokoka nn ww ?

Eti umemrudia YESU ?YESU yupi huyu nnaemwabudu mm au una YESU wako ww na HUYO GWAJIMA wako? Leo umemsahau Mbasha ww ?

Wakati alikuokata umechakaa wakati mbasha dereva teksi leo wataka kumfunga ili iwe nn sasa mbasha akifungwa utapata faida gani ww?

Huyo mtoto akija kukuuliza baba yuko wapi utamwambiaje?

Fine unaweza kujikaza ukamwambia yuko jela je akikuuliza nani alimshitaki utajibu nn ?

Pia waweza kujikaza ukawataja hao wasichana mliowapandikiza je akiuliza ww ulifanya jitihada gani baba asifungwe utasemaje?

Hapo auna jibu Acha roho mbaya NENDA KAMTOE MARA MOJA NA MWENDE NYUMBANI MKAONGEE KAMA FAMILIA TWAJUA UWEZO HUO UNAO ILI NA YEYE ATAFUTE HAMSINI ZAKE KAMA WW ULIVYOAMUA KUJISALIMISHA KWA GWAJIMA. USIJE UKASHANGAA WATU WAKASUSIA KAZI ZAKO ZOTE. GDAY."
 
MUVI.jpg
 
Gwajima hapo roho kwatuu! Wewe mtumishi wa Mungu kweli unawafanyia watu umafia kama huo? Mkeo hakutoshi ama ni maandiko gani unasimamia kwenye kuisulubu ndoa ya huyo dada. Kama ni mchepuko si lazima kuharibu mpaka kwenye ndoa.
Hakuna anayemtetea Mbasha kama kweli alifanya hilo mbaya ni namna wewe na watu wako mlivyojihusisha kwenye hilo sakata. .......mliingiaje hapo kama si mkakati wenu muweze kuendeleza mambo yenu? Hapo Flora atakuwa hana mume na mtoto pia atamkosa baba. Kwa Flora utafaidika ila kwa mtoto unabeba laana hata hizo sh. 9M si kitu.
Flora fikiria sana Gwajima hatokufikisha popote zaidi umemkosea Mungu mliyeahidi kumtumikia. Ndoa nayo ni ibada. .....Mbasha usife moyo tafuta wakili mzuri kwani hata huenda hao watu wa Gwajima ndo walimwingilia huyo binti may be kuwe na DNA proof. Ngoma inaweza kuwarudia. ....weka wakili kwani yawezekana kabisa waliokuja kumchukua huyo binti ndo walimwingilia. Hata hapo taratibu za kuchukua ushauri haiku fatwa. .... hakuna kesi.
 
Kama si mkakati siku yaliyomfuata binti hapo nyumbani walikuja na afisa wa chombo cha dola? Kama hapana kwa nini isiwe ndo walimwingilia na kuset hiyo mipango?
 
Back
Top Bottom