Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Bro just kubali kwamba umepoteza muda na wewe si wa kwanza alikuwepo adamu samson na wengine just cool down and go to the movie industry iam sure the first movie will be the best selling coz you will be digging down the world of the fake pastors

Unavyompamba utadhani hajazini nje ya ndoa na hajabaka!
 
figganigga, video za aina hio huwa zinawekwa lile jukwaa la wakubwa. Itupie huko
 
Last edited by a moderator:
hv wakat f anadoo na mtume gwa! anapata hisia kwel mwenzie ananyea debe! kweli wanawake tunamioyo migumu !never trust a woman even if is your mama loh

Umeona eeeeh wanawake mnaroho mbaya sana kuliko hata shetani.
 
Bint aliyebakwa ni huyu, sio yule wa Ngasa, huyu ni mtoto ambaye Mama yake Flora alimchukua kutoka ktk vituo vya mayatima tangu yupo mtoto.
 
Bint aliyebakwa ni huyu, sio yule wa Ngasa, huyu ni mtoto ambaye Mama yake Flora alimchukua kutoka ktk vituo vya mayatima tangu yupo mtoto.

Kwa hiyo unataka kusema walishindwa.kujieleza ... haturuhusiwi kuhukumu but flora ajafanya vyema kabisa kwa mumewe...
 
Acheni kuandika msivovijua yule aliecheza na Ngassa ni mdogo wake kabisa na Flora yaani wote ni watoto wa Caroline Kulola alieko Morogoro na huyu aliebakwa ni mtoto wa Marehemu Rachel Kulola, so Anamwita Flora dada mtoto wa mama Mkubwa
 
Mkuu wangu, labda hoja yako ijikite kwenye jambo lingine lakini sio suala la umri!!! Effect ya umri inakuwa tu kwenye hukumu... kama ni kifungo cha maisha au miaka 30 lakini suala la ubakaji litabaki pale pale hata kama muhusika ni changudoa lililoshinikana na lenye sifa ya kupigwa mtungo na wanaume idadi yoyote... linapokuja suala la ubakaji, yote hayo hayaangaliwi... kinachoangaliwa ni ikiwa muhusika alitoa unyumba kwa ridhaa yake au pasi na ridhaa yake!Ikiwa mnataka umri kiwe ndo kigezo, basi ni kama mnakiri kwamba Mbasha kagonga yule binti lakini kv sio underage basi haiwezi kuwa ubakaji! Na ajabu, hata Mbasha mwenyewe akinukuliwa na gazeti moja, nae amesema si kweli kwamba yule binti ana miaka 17 bali ana miaka 19!! Hapa panapaswa kutolewa hoja mzito kuonesha kwamba hakumbaka lakini suala la umri au uchezaji wa XX haziwezi kuwa hoja zenye mashiko!! Narudia, tukijikita kwenye umri ni sawa na kusema ni kweli Mbasha amepiga yule binti lakini kv ni 18+ huo sio ubakaji... so, can he prove kwamba walitafunana kwa mahaba ya dhati? Means, if they were lovers, labda kuna msg za mapenzi kati yao... au labda wameshapata kukutana kwenye Guest House hii au ile kwa maana, it doesn't make any sense mtu anayelazimishwa afunge safari hadi Guest HOuse!!
 
Acheni kuandika msivovijua yule aliecheza na Ngassa ni mdogo wake kabisa na Flora yaani wote ni watoto wa Caroline Kulola alieko Morogoro na huyu aliebakwa ni mtoto wa Marehemu Rachel Kulola, so Anamwita Flora dada mtoto wa mama Mkubwa
Thanks for info... inadhihirisha tu kwamba hapa watu huwa tumebarikiwa tu vipaji tata vya uropokaji na wala hatufahamu ukweli wa mambo!!! Sasa ikiwa jambo la wazi kama hili watu hatulifahamu, utashangaa anakuja mtu anajifanya anamjua sana Flora Mbasha au Emmanuel wakati anamuona tu kupitia kwenye TV na imezidi sana, wanawaona kupitia kwenye viunga vya makanisa kama sio kwenye matamsha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…