Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Sijawahi kuchepuka nahisi huu ndio utakuwa mchepuko wangu wa kwanza,emannueli mbasha kesi yako ukimaliza tu mm ntakutafuta tuchepuke looo nilikuwa nakutamani siku nying sana ,asante frola maana umeachia nafasi,
 
Sijawahi kuchepuka nahisi huu ndio utakuwa mchepuko wangu wa kwanza,emannueli mbasha kesi yako ukimaliza tu mm ntakutafuta tuchepuke looo nilikuwa nakutamani siku nying sana ,asante frola maana umeachia nafasi,
 
This saga remind me of a story by Eric Shigongo "President loves my wife".
 
imma ungekua mtoto wa kihuni hii ilikua ishu ya kumpiga chini huyo dem kabla hata ya hukumu ya kesi kimya kimya tu "panya haridhiki na shimo lake ndio maana huingia ata shimo la nyoka " kaka kuwa mpole tu maana hata mkiyamaliza na mkeo kama hyo kesi na yy na mkono wake umeusika ipo cku tutaambiwa hatimaye imma afariki dunia ghafla na presha , kama ni kweli ni ishu mungu wako anakulinda na naamin wamekutafuta mda mrefu mnoo wakashindwa , inatia uchungu sana hiii ishu kwa kweli ,;:BABU ALINIAMBIA KUWA MAKINI NA SIO KILA ANAYEKUCHEKEA ANAKUPENDA;,
 
imma ungekua mtoto wa kihuni hii ilikua ishu ya kumpiga chini huyo dem kabla hata ya hukumu ya kesi kimya kimya tu "panya haridhiki na shimo lake ndio maana huingia ata shimo la nyoka " kaka kuwa mpole tu maana hata mkiyamaliza na mkeo kama hyo kesi na yy na mkono wake umeusika ipo cku tutaambiwa hatimaye imma afariki dunia ghafla na presha , kama ni kweli ni ishu mungu wako anakulinda na naamin wamekutafuta mda mrefu mnoo wakashindwa , inatia uchungu sana hiii ishu kwa kweli ,;:BABU ALINIAMBIA KUWA MAKINI NA SIO KILA ANAYEKUCHEKEA ANAKUPENDA;,@
 
mwanangu unabusara sana. kama ni kweli bas mungu amsimamie ima

Ukweli hatuujui mama,ukweli wanaujua wao pamoja na Mwenyezi Mungu!Hapa tunajaribu kuunganisha dots tu,,!Vile vile lisemwalo lipo kama halipo linakuja!Emma hasingeweza kusema,mchungaji amwachie mke wake,angejitetea tu kuwa hajafanya basi
 
Mwaka wa 2012 kuna Video ilivuja ngasa akila maraha na denti kama Mnakumbuka. Yule denti alikua ni Mdogo wake Flora Mbasha na ndo huyo juzi kati habari zilivuja kwamba katembea na Mume wa Flora.

Nakumbuka ile video ya Ngasa simba walikua wakiificha sana lakini ikashindakana.

Nashangaa leo dogo anakuja kudai kwamba ana miaka 17 na Mbasha ndiye kamtoa bikra yake kwani kambaka mara mbili.

Video ninayo kimaadili siwezi kuiweka hapa. Labda ntawawekeeni picha tu. picha ya mnato.

My take;
Hii ya kubaka ni Mpango wa kummaliza Mbasha. Mbasha inabidi asaidiwe kwa hili kwani huyo mdogo wake mbasha anaonekana kakubuhu kutokana na mambo yake ndani ya hii video.

kama vipi ntawawekeeni kule kwa wakubwa. Mia
 
Lakini hili sakata la kubaka mbona sijawahi kusikia chombo chochote kikubwa cha habari kikiripoti? mbona liko tu kwenye mitandao ya kijamii?
 
Lakini hili sakata la kubaka mbona sijawahi kusikia chombo chochote kikubwa cha habari kikiripoti? mbona liko tu kwenye mitandao ya kijamii?

mbona Jf ni chombo kikubwa tu cha habari.

achilia mbali magazet kama mwananchi mbona yanaripoti sana
 
Lakini hili sakata la kubaka mbona sijawahi kusikia chombo chochote kikubwa cha habari kikiripoti? mbona liko tu kwenye mitandao ya kijamii?

Kwahiyo mkuu hili sakata unalichukuliaje? Mia
 
Bro just kubali kwamba umepoteza muda na wewe si wa kwanza alikuwepo adamu samson na wengine just cool down and go to the movie industry iam sure the first movie will be the best selling coz you will be digging down the world of the fake pastors
 
hv wakat f anadoo na mtume gwa! anapata hisia kwel mwenzie ananyea debe! kweli wanawake tunamioyo migumu !never trust a woman even if is your mama loh
 
Back
Top Bottom