Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

mwimbaji wa nyimbo za injili flora mbasha hivi karibuni alidai kwamba alivamiwa na watu wenye nia ya kumdhuru nyumbani kwake tabata.akaamua kuwapigia simu polisi na kweli polisi walikuja haraka ila walikuta wale vibaka wameshaondoka.kutokana na hilo tukio akaamua kuhama nyumbani kwake tabata na kwenda sehemu yenye usalama sababu alihofia wale vibaka watarudi tena.
Flora acha kutunga uongo,umeamua kuondoka nyumbani kwa sababu zifuatazo
1.kuendelea kukaa hotelini
2.hutaki kukutana na kuyamaliza na mbasha sababu ulijua akipata dhamana lazima atarudi nyumbani kwake tabata
3.nahisi kuna vitu ulienda kuchukua kama nguo,document za muhimu ambazo usingeweza kuchukua kama mbasha angekuwepo.
 
iila ima mbasha ni mkyutiii! jamen mwenye chake mpe?ፈለ
 
Sijui kwa nini ndoa nyingi za watu maarufu hukosolewa sana na wadau kanakwamba wahusika hana akili na maamuzi yao nafkiri tungoje mwisho utakuaje tiaiamini sana magazeti haya coz ni biashara na biaahara ni matangazo 😎
 
Leo nimeangalia Sporah show,waliyohojiwa,nimeumia sana.Sijui nini kimewpata hadi wamegeuka kuwa PANYA na Paka namna hii
 
Kabaka limama lizima lile kweli?
Ameshajua hata kuvaa nusu uchi ni wakubakwa au ni makubaliano tu;
Vinginevyo ni huyo shetani flora alitaka iwe hivyo ili abaki na uhuru wake.

Sijui nani mkweli kati ya hawa wanandoa aisee, Ki ukweli ufike wakati Watanzania tusiwe waongeaji saaana na kudaka kila tunalolisikia, Sasa ilo limama unalosema limebakwa liko wap?ANAYEDAIWA KUBAKWA ni uyu hapa pichani.....Mwsho nadhani hawa wanandoa hii ndoa waliiharibu wenyewe na walipaswa kutengeneza wenyewe. Sasa kwa walipofika sitashangaa mengi yakiibuka
mbasha3.PNG
 
Yule binti hana udogo hadi useme wa kubakwa binti anajua na kuvaa vimini na anatembea uchi leo useme a me Ba kwa? Flora aliweka mtego wakimaliza kubanjua adai kabakwa mbna huyo flora kabanduliwa na watu kibao akiwemo mzee wa hummer na emanuel akiwa anafahamu?mbna ema kavumilia yote hayo

Hao watu wamebugi sana ktk iyo ndoa,na ni aibu kwao!!Punguza hasira anaedaiwa kubakwa ni uyu
View attachment 166140
 
Nikimsikia huyo Frola moyo wangu unazidi kuwachukia wanawake wote.
 
Penzi la Gwajimer limemnogea hadi haitaki tena ndoa yake.
Ova
 
Tuiombee hiyo ndoa jamani. Gwajima ni masihi wa uongo aliyekuja kusambaratisha ndoa. Ndo dalili za mwisho wa dunia zimeanza kuonekana. Kwenye ndoa mkisharuhusu mtu kuingilia mambo yenu mjue hamtadumu. Ndoa ni taasisi nyeti. Gwajima mrudie mola baki na njia kuu

Kuvurugika kwa ndoa ya watu wazima (watoto hawaoani) kamwe hakuhusishwi na mtu wa tatu. Wapelekee ujumbe wahusika wawili wenyewe wajitafakari kama kweli walikuwa na ndoa au "show". Gwajima ni binadamu kama binadamu yeyote yule; anayeshawishika kumfuata ni "at own risk" kama vile tu ukiamua kunifuata mimi bila kutumia hekima uliyojaliwa na Mwenyenzi Mungu.
 
Back
Top Bottom