stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Be afraid of people who preach heaven and practice HELL.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This saga remind me of a story by Eric Shigongo "President loves my wife".
Gwajima amempa nini Flora mpaka kawa hivi...??
Leo nimeangalia Sporah show,waliyohojiwa,nimeumia sana.Sijui nini kimewpata hadi wamegeuka kuwa PANYA na Paka namna hii
mwanangu unabusara sana. kama ni kweli bas mungu amsimamie ima
Lakini hili sakata la kubaka mbona sijawahi kusikia chombo chochote kikubwa cha habari kikiripoti? mbona liko tu kwenye mitandao ya kijamii?
Lakini hili sakata la kubaka mbona sijawahi kusikia chombo chochote kikubwa cha habari kikiripoti? mbona liko tu kwenye mitandao ya kijamii?
mbona Jf ni chombo kikubwa tu cha habari.
achilia mbali magazet kama mwananchi mbona yanaripoti sana
kapata dhamana juzi! dont tell me na policcm ni mtandao wa kujamiiana