Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Kiukweli Kama ni mbasha roho yaniuma Sana na Kama mdogoake frola ndo alie cheza x na ngasa uyo kaamua tu kumuaribia ndoa Dada ake
 
Mwimbaji wa injili amezimia tangu Jana anahitaji dua na maombi yetu hii ni baada ya ile habari ya mmewe kumbaka mdogo wake


Kwa wale mmesoma Mwananchi IPO UK Wa 1
=========================================

 

Attachments

  • 1401282243358.jpg
    72.1 KB · Views: 479
Unaweza kuigiza kila jambo lakini si wokovu.
 
Pole zake,ila kwa sasa huyo mumewe alitakiwa awe keko.Yaani ningekuwa karibu lazima ningemnyonga huyo hafai hata kuitwa binadamu
 
Kumbe ndio habari iliyopo mjini hivi sasa baada ya ile ya harusi ya mheshimiwa kuwa zilipendwa?
 
huyo mumewe si naye anajifanya mlokole ? Duh ! Nimeamini KWA MUNGU SIYO KWA MZUNGU .
 
flora mbasha si lile vuvzela la ccm?nape ataenda kumfariji..michepuko mingi kwa wanandoa ni kulipiza visasi,tujiulize nani alianza..
 
Pole zake,ila kwa sasa huyo mumewe alitakiwa awe keko.Yaani ningekuwa karibu lazima ningemnyonga huyo hafai hata kuitwa binadamu

Halafu wana STUDIO YA KILOKOLE iliyozinduliwa na msaka tonge mmoja hivi ( msaka urais kwa udi na uvumba ) , WATAKUWA WAMEMDHALILISHA SANA !
 
Du, kweli safari ya mbinguni ni ndefu, watakuwa wanamuhubiria nani kwa nyimbo kuwa usizini? du kweli kupenya ni kazi.
 

Sikushangai, nahisi hata yule mzee Kaa-Puya ulimtetea!

Ulitaka iandikwe kwenye magazeti ya Shigongo ili useme ni Udaku?
 
Niliisikia juu juu tuu ila kama ni kweli basi hali ni mbaya


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Naombeni kuuliza hivi kudandia teen ama gari kwa mbele ni kosa? Manake Kwa nijuavyo treni ama gari likienda mbele halafu ukadandia mbele no hatari lakini likirudi nyuma mahali salama kwa kudandia ni mbele, sijui kama nipo sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…