Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Huyu Mbasha naona kama wamembambikia kesi tu, haiwezekani mtu ambake msichana ijumaa halafu sijui kesho yake akarudia tena halafu akambaka tena kwenye gari? binti unaishinae unaweza kwenda kumbaka kwenye gari? Kwenye gari aliingiaje wakati anajua shemeji yake ni mbakaji? mimi naona huyo binti katoa mzigo yeye mwenyewe wala hajabakwa. Hii ni muvi script yake ni ideas kama za producer Kova.[/QUOTE

apo sasa.hii kesi ni tamu sana....yani kabakwa na kusababishiwa maumivu makali..akamweleza nani?kwa nn hakutoa taarifa ubakaj wa mwanzo akayatoa baada ya kubakwa tena?
 
The bold hatujui nini kumempata na jana alikuwa anasema anatishiwa sana baada ya kuweka

zile habari za mzee wa hummer...., na mmoja wapo wa watoa vitisho ni matumbo eti alikwambia

hafiiki keshokutwa kwa hizo habari anazozitoa..... so hatujui usalama wake uko vipi

Matumbo ana nn kwwnye huu mtandao? Nna hamu nimjue ni nani
 
Last edited by a moderator:
kazi haziendi hapa............ nashika mafile kidogo the huyo nazama ndani

nikimuona The bold ndio roho yangu itatulia sa hivi hapana
Jamaa yupo maana last activity naona yupo baada ya muda si mrefu...

Join Date 7th May 2013 Last Activity Today 09:58 Avatar
avatar141659_3.gif
 
hua sina time na maisha ya watu.... ka ni kibaka au sio kibaka wacha polisi wafanye kazi yao
 
Mkuu umeniacha mdomo wazi kwenye vitengo hapo,hasa kitengo cha media nahisi ndio kinachopotosha ukweli hapa JF kwa propaganda za kipuuzi.!!!
 
Huyu Mbasha naona kama wamembambikia kesi tu, haiwezekani mtu ambake msichana ijumaa halafu sijui kesho yake akarudia tena halafu akambaka tena kwenye gari? binti unaishinae unaweza kwenda kumbaka kwenye gari? Kwenye gari aliingiaje wakati anajua shemeji yake ni mbakaji? mimi naona huyo binti katoa mzigo yeye mwenyewe wala hajabakwa. Hii ni muvi script yake ni ideas kama za producer Kova.[/QUOTE

apo sasa.hii kesi ni tamu sana....yani kabakwa na kusababishiwa maumivu makali..akamweleza nani?kwa nn hakutoa taarifa ubakaj wa mwanzo akayatoa baada ya kubakwa tena?

jana nilishatoa clarification kwamba kugegedana katika gari ni ngumu lazima muamie siti ya nuima

ina maana esta aliamia siti ya nyuma kubakwa????

au aliingia siti ya nyuma akakinga bakuli???
 
Tokea habari iandikwe magazetini kwa mara ya kwanza alikuwa kukanusha? kama ni msafi kwa nini ajifiche muda wote huo?

Halafu kwa taarifa yako tu, tunafuatilia mambo yanayotokea nchi hii kwa ukaribu na tuna kumbukumbu pia. Ni huyo huyo Emmanuel Mbasha unayemtetea kwa kivuli cha utumishi wa Mungu, miaka kadhaa nyuma kabla ya kifo cha Moses Kulola, Mbasha huyo huyo aliwahi kumpiga mtu nyuma ya jukwaa kisa kupewa muda chache wa kuimba mkutanoni... alipigwa marufuku kuimba kwenye mikutano ya injili...

Ilisuluhishwa kiutu uzima na sakati kuisha kimya kimya...

maelezo yako yameside upande wa Flora.
 
bnadamu kazi kwelikweli lakini katika hizo plan zote naona hawakuona mbali..... aisee yani ndo wameharibu tu at least wangempa huyo mr.mbasha hela afunge mdomo
 
Hii strory ipo sawa kabisa na mimi nlivo ipata kutoka kwenye chanzo husika na gwajima kabisa. Hawa watumishi wa mungu wa sikuhizi hawa? Mie mkewangu nkisha muona anajiunga na makanisa kama haya ya hawa matapeli bora adai talaka kwanza mimi ni mlutheri na ntafia huko na familia yanngu yote
 
Kwa maendeleo na ustawi wa taifa hili naomba Invisible uweke-pause hii thread ili watu tufanyekazi asubuhi hii then uta resume saa kumi na moja jioni, tafadhali mod tuonee huruma wenzio tutashindwa kufanyakazi kabisa kwa kufatilia taarifa hii huku tukizid kuhoji usalama wa The bold CC: masai dada TATIANA [MENTION=5187]J.lee tweenty4seven Heaven on Earth WAONE WALIVYONUNA Cc Active, Moderator, Mhariri
MCHUNGUZI HURU umenikwaza ujue ntakufata mpaka kazini kwako yan nlivyo n mcheche hapa i wish The bold angekuja kutoa neno hata tujue ka mzima.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom