Mume wa ndoa akikujibu hivi utajisikiaje?

Hapo naona kwanza sidhani hata maelewano Kama yapo mpk mumeo anakujibu ivyo ni hatari sana fanya mpango uende kwa mama mkwe ukatoe malalamiko yako usichukue uamuzi wa kuondoka kwanza nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke ni jukumu la mume hata kama mke Ana kipato kikubwa zaidi.Mume anawajibika kufanya kwa uwezo wake.
Kama wako hafanyi please please hakikisha hupati mtoto kwa gharama yoyote Till una uhakika na kipato chako binafsi na kama bado unataka kuendelea kuishi nae(ni bora zaidi watoto waishi na baba na mama).
Kifupi hapo mume huna!
 
That's what happens when a woman decide to follow a confused man. Inaonekana jamaa hajielewi na hajui anataka nini maishan mwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Pole sana rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…