Mume wa ndoa akikujibu hivi utajisikiaje?

Mume wa ndoa akikujibu hivi utajisikiaje?

Kuna shida ipo mpaka tumsikie na yeye. Ndoa ina mengi tuliopo tunayajua
Hapa watu watatoa hukumu kwa ushahidi wa upande mmoja tu.
Anaweza kuonewa mumueo kimakosa.
Huenda kuna tatizo upande wako pia zaidi ya kutopata watoto. Hilo la watoto shida yawezekana ipo kwa mumeo.
Mlete mumeo JF nae aje ajitetee kwanini anafanya mambo ya kitoto na kishamba kama hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, unapitia mengi, natamani ningeweza saidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.

Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.

Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"

Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?
Je wewe unajishughulisha na nini, usije ukawa una kaz au unafanya biashara hela yako mwanaume haigusi halafu wewe unataka uhudumiwe kila kitu, jaman tusiangalie upande mmoja
 
Hii style ya acha kazi ntakuhudumia imezidi sana. Kama haukuacha kazi basi jitahidi utafute hata biashara uweze kujihudumia.
 
Una mshukuru Mungu una move on with your life!
Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.

Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.

Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"

Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh huyo sasa amezd, yani ww usimsemeshe kitu tena mana huyo ameshaonekana ni kichwa ngumu.

Kama unajishughulisha sehemu inakuptia rzk kdg bs jihudumie mwnyw mpk ashangae, na yeye muache apo apo usilalamike tena kuhusiana na hilo swala mana mwsho wa siku atakugeuza ww kuwa ktk kundi la walalamishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, unapitia mengi, natamani ningeweza saidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh watu mnajua kufukua[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu ya kujitegemea ni muhimu sn kwako. Usiolewe ili kutafta unafuu wa maisha, ukiona huwez kukihudumia ujue bado hauko tayari kuolewa, otherwise kila siku utalaumu unanyanyaswa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana lady in action
Inaonekana ndani ya muda mfupi sana wa ndoa umepitia mambo magumu sana ambayo uzito wake unaujua zaidi wewe kuliko yoyote anayekushauri.
Bado una muda wa kusahihisha ulipokosea kabla ya kuendelea kuharibu na muda ni huu ambao hujaongeza familia sababu kutengana mkiwa na watoto ni shughuli nzito..
Mimi naweza nisiwe mshauri mzuri sana wa ndoa yako sababu nina amini kwenye upendo zaidi uvumilivu kwenye mateso ya kukusudiwa
 
Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.

Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.

Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"

Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?
utumie uanamke wako ili akuhudumie ...mfano mimi nina demu wangu huwa kama yeye anahitaji sex na mimi kama naonesha kumkwepa huwa anchukua mkono wangu anauweka kwenye papuchi yake huku anaanza kujisugulia huku akikata mauno pole pole hapo lazima apate tamu yake.Usilalamike jaribu njia za kiuanamke maybe humvutii kama ilivokuwa mwanzo umekuwa too wifey too much mommy type akija wewe unamuandalia maji ya kuoga na chakula halafu unapanda kitandani na gauni lako na hata akikuomba m[aka muaze kugombana kama watoto..think out of the box
 
Back
Top Bottom