Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Hapo hapo ndipo ulishindwa kumwelewa aliyekupa stori ama ndipo pia uliposhindwa kumwelewa anayekataa kukuhudumia.Mada hujaielewa wala hujanielewa any way asante kwa mchango wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hapo ndipo ulishindwa kumwelewa aliyekupa stori ama ndipo pia uliposhindwa kumwelewa anayekataa kukuhudumia.Mada hujaielewa wala hujanielewa any way asante kwa mchango wako
Hapa watu watatoa hukumu kwa ushahidi wa upande mmoja tu.
Anaweza kuonewa mumueo kimakosa.
Huenda kuna tatizo upande wako pia zaidi ya kutopata watoto. Hilo la watoto shida yawezekana ipo kwa mumeo.
Mlete mumeo JF nae aje ajitetee kwanini anafanya mambo ya kitoto na kishamba kama hayo.
Ukipitia nyuzi zake za nyuma utagundua ni yeye, anaishi kwa maumivu muda mrefuHapo hapo ndipo ulishindwa kumwelewa aliyekupa stori ama ndipo pia uliposhindwa kumwelewa anayekataa kukuhudumia.
Hapa utapata wapenda vitonga, umejipa promoMimi sio mume wa mtu
Nikibahatika kua mume wa mtu
Basi kumtunza mke wangu Ni moja Kati ya majukumu yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Je wewe unajishughulisha na nini, usije ukawa una kaz au unafanya biashara hela yako mwanaume haigusi halafu wewe unataka uhudumiwe kila kitu, jaman tusiangalie upande mmojaUna mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.
Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.
Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"
Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?
Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.
Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.
Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"
Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?
Mmmh watu mnajua kufukua[emoji848]Pole sana, unapitia mengi, natamani ningeweza saidia
Maamuzi magumu: Mume wangu hanijali kwa chochote, nataka kuachana naye
Nataka nifanye maamuzi magumu ya kuachana na huyu Mwanaume, nahofia kitu kimoja 1) Ukweni kwangu pamoja na mume wangu hawana dini yaani ni waganga sana. Je watanibakiza? 2) Nilitolewa mahari mil 1.6 bi mkubwa ameshakula na taratibu za kisukuma ukiolewa kama haujazaa mahari inarudi na faini...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
utumie uanamke wako ili akuhudumie ...mfano mimi nina demu wangu huwa kama yeye anahitaji sex na mimi kama naonesha kumkwepa huwa anchukua mkono wangu anauweka kwenye papuchi yake huku anaanza kujisugulia huku akikata mauno pole pole hapo lazima apate tamu yake.Usilalamike jaribu njia za kiuanamke maybe humvutii kama ilivokuwa mwanzo umekuwa too wifey too much mommy type akija wewe unamuandalia maji ya kuoga na chakula halafu unapanda kitandani na gauni lako na hata akikuomba m[aka muaze kugombana kama watoto..think out of the boxUna mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.