Mume wa ndoa akikujibu hivi utajisikiaje?

Mume wa ndoa akikujibu hivi utajisikiaje?

Pole jaribu kuongea naye kumwelize mahitaji yako. Unajishughulisha na lolote?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chamuhim ni kuwa na shughuli yako yakukuingizia kipato, tatizo Dada zetu mfumo dume umetawala kwenye fikra zetu wanahamini wao kama wao hawezi kujikwamua bila mwanaume!! hapana Mwanamke hukijiwekea malengo yako na ukajituma lazima mafanikio yatapatikana, na Utawasaidia ndugu zako na wazaz wako kwa raha zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa za cku hizi Wanaume wengi wanatoa chakula mengine utajiju Ndio ndoa nyingi zilivyo. Ukiwa na kazi yako akaaa Wala hujionei Tabu yako yataenda. Wengi wanabana kwenye bajet ya chakula ndo apate kitenge, asuke n.k n.k. Sema huyo kakosea kukujibu alichokujibu. Mwambie ajibane apate japo mtaji wa mandazi atajikwamua kama Hana kazi. Atabadili wanaume Ila bora hata huyo analeta chakula wengine hata chakula hawanunui.
 
Alisoma kwa ajili ya ndg zake, hapo ni kuchakarika kutafuta zako ili ujihudumie na uhudumie ndg zako, mimi binamu yangu kaoa muda kidogo, wifi akawa analalamika hasaidii ndg zangu, kuja kulalamika kwa mama yangu, na kufunguliwa akili wewe upo home umekaa tu toa cherehani yako upinde kanga upate hela usaidie ndg zako. Hadi saiz ndg zake wakija anawasaidia fresh tu haya mambo ya kumtegemea mwanaume binafsi siyawezi.

FANYA MPANGO WA KUTAFUTA PESA YAKO, USIMTEGEME
Kwa nini uoelewe naye kama hawezi kubeba majukumu ya familia? Kabla ya kununua cherehani cha kwanza ni kupiga chini huyo kule ndio mengine yaendelee. Bora ushone ukiwa kwenu sio kwake. Ndio maana waswahili husema kuzaa sio kazi kazi kulea. Wa kuzaa nao ni wengi sana tafuta wa kuzaa na kulea.
 
Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.

Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.

Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"

Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?
Beba mimba kwanza huduma utaiona kashaonabhamna kitu ndio kinachomkatisha tamaa
 
Kwa nini uoelewe naye kama hawezi kubeba majukumu ya familia? Kabla ya kununua cherehani cha kwanza ni kupiga chini huyo kule ndio mengine yaendelee. Bora ushone ukiwa kwenu sio kwake. Ndio maana waswahili husema kuzaa sio kazi kazi kulea. Wa kuzaa nao ni wengi sana tafuta wa kuzaa na kulea.
My wifi alikuwa anafanya kazi kwa mtu ya kufuma mashuka haya ya kigoma, sasa cherehani alipewa kama zawadi kwenye harusi, akitegemea akiolewa bata tu kulishwa na kuvishwa, siyo siri kaka yangu binamu ni bahili hatari na sijui walivyokuwa wanadate kama alikuwa anmauhonga hata mia.

Saizi maisha yanaenda tu hana jinsi maana kuna siku Baba yake wifi kaja, Mume anasema sina nauli ya kumpa Baba yako yeye alisafirije hadi roho inauma khaaaaaa
 
Ndoa za cku hizi Wanaume wengi wanatoa chakula mengine utajiju Ndio ndoa nyingi zilivyo. Ukiwa na kazi yako akaaa Wala hujionei Tabu yako yataenda. Wengi wanabana kwenye bajet ya chakula ndo apate kitenge, asuke n.k n.k. Sema huyo kakosea kukujibu alichokujibu. Mwambie ajibane apate japo mtaji wa mandazi atajikwamua kama Hana kazi. Atabadili wanaume Ila bora hata huyo analeta chakula wengine hata chakula hawanunui.
Bidada anamaduka yake ya dawa 2 jamaa anahakikisha anasimamia
Ndani upo kwani wewe na mmeo tu!

Si mnamahitaji kibao ya kila siku na ya muda wote?

Nani anayanunua? Au nyie mna kitanda tu kila mmoja akitoka atokako anakuja analala kisha asubuhi kila mmoja anaondoka....

Hili ndilo nalouliza.
Iko hivi bidada anamaduka 2 ya dawa ambayo moja alikutwa nalo wakati anOlewa lingine walipohamia mkoa mwingine jamaa akafungua jingine
Matumizi Kama chakula anatoa jamaa
Kuhusu kununua vitu Mara nyingi hela inatoka dukan bidada akiwa na shida mume anasema hana hela na hawez kuchukua kwenye biashara sababu zinamahitaji ndani,, akijaribu kumwambia tuweke mtu dukan Mimi nikafute kazi sababu bidada kasomea mambo ya pharmacy jamaa anamkataza
Jamaa anapata c chini ya mil 3 kwa mwez alivyojaribu kuhoji hela zako unapeleka wapi
Ndio majibu hayo aliyojibiwa
 
Tafuta pesa zako ,acha kuwazua pesa ya mwanamme,ninyi wanawake mnakiburi sana mkiwa na pesa. Zenu huwa mnatujibu kama alivyokujibu huyo mwanamme shujaa,nampongeza sana kwa kuwajali ndugu zake maana hakuna undugu kati ya mwanamke na mwanamme,mkiachana hapo huna time naye,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom