Mume wa ndoa

Mume wa ndoa

Status
Not open for further replies.
Hi guys, poleni na majukumu.
Baada ya kuumizwa kwa muda mrefu na mapenzi niliamua kupumzika lkn sasa naona ni muda mwafaka wa mm Kuwa na mahusiano yanaeleweka ikibidi yafikie hatua ya ndoa.

Mm ni mwanamke WA miaka 28,Niko na mtoto mmoja lkn kwa bahati mbaya mzazi mwenzangu alishatangulia mbele ya haki. Mi mkristo na niko shinyanga. Ni mwajiriwa.

Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo.
Umri miaka 32 mpaka 40.
Kabila lolote ila awe mkristo.
Awe na mapenzi ya kweli kwasababu mm niko serious.
Awe na kipato halali na awe na akili ya maisha ya kupenda maendeleo.

Kwa yeyote atakaekuwa interested, karibu pm tuanze kufahamiana.

NB: Sihitaji kejeli wala matusi.
Nipo apa kama bdo ujafanikiwa
 
Kuna watu wengine nikisema ni wapumbavu nitakuwa sijakosea.samahni kwa kutukana. Huyu anayesema humu sio sehemu sahihi ya kupata mwanaume ni mjinga first class. Maana yeye mwenyewe hajikubali kwanza. Pili anatudharirisha hata wanaume wengi tuliomo humu ambao tuna heshima zetu. So usiyefaa humu ni wewe peke yako tu. Wengine tunajielewa
 
Cha msingi sema kwanza ni nini kilimuua marehemu mumeo.
 
Kila la heri na baraka nsamaka katika kupata mtu umtakaye kwenye maisha yako.

Hi guys, poleni na majukumu,

Baada ya kuumizwa kwa muda mrefu na mapenzi niliamua kupumzika lkn sasa naona ni muda mwafaka wa mimi kuwa na mahusiano yanaeleweka ikibidi yafikie hatua ya ndoa. Mimi ni mwanamke wa miaka 28, niko na mtoto mmoja lakini kwa bahati mbaya mzazi mwenzangu alishatangulia mbele ya haki. Mi mkristo na niko shinyanga. Ni mwajiriwa.

Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo.
Umri miaka 32 mpaka 40.
Kabila lolote ila awe mkristo.
Awe na mapenzi ya kweli kwasababu mm niko serious.
Awe na kipato halali na awe na akili ya maisha ya kupenda maendeleo.

Kwa yeyote atakaekuwa interested, karibu pm tuanze kufahamiana.

NB: Sihitaji kejeli wala matusi.
 
Hongera sana mkianza kutafuta michango nakuomba usinisahau. Kila la heri na Baraka kwenye safari yenu ya kujenga penzi
.

Asante BAK ila tayari shemeji alishapatikana. Tulikutana mitaani tu. Huku wapo ila wengi wazinguaji.
 
Hongera sana mkianza kutafuta michango nakuomba usinisahau. Kila la heri na Baraka kwenye safari yenu ya kujenga penzi
.
Asante kaka, usijali.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom