Mume wa ndoa

Status
Not open for further replies.
Nipo apa kama bdo ujafanikiwa
 
Kuna watu wengine nikisema ni wapumbavu nitakuwa sijakosea.samahni kwa kutukana. Huyu anayesema humu sio sehemu sahihi ya kupata mwanaume ni mjinga first class. Maana yeye mwenyewe hajikubali kwanza. Pili anatudharirisha hata wanaume wengi tuliomo humu ambao tuna heshima zetu. So usiyefaa humu ni wewe peke yako tu. Wengine tunajielewa
 
Cha msingi sema kwanza ni nini kilimuua marehemu mumeo.
 
Kila la heri na baraka nsamaka katika kupata mtu umtakaye kwenye maisha yako.

 
Hongera sana mkianza kutafuta michango nakuomba usinisahau. Kila la heri na Baraka kwenye safari yenu ya kujenga penzi
.

Asante BAK ila tayari shemeji alishapatikana. Tulikutana mitaani tu. Huku wapo ila wengi wazinguaji.
 
Hongera sana mkianza kutafuta michango nakuomba usinisahau. Kila la heri na Baraka kwenye safari yenu ya kujenga penzi
.
Asante kaka, usijali.
 
Reactions: BAK
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…