Mume wa Rais Samia azikwa Kizimkazi, Zanzibar

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezikwa jioni ya leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar.

Watu mbalimbali, wakiwemo Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Dini, Wafanyabiashara pamoja na Waombolezaji wengine, wamejitokeza katika mazishi hayo kutoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu.

Kifo cha Hafidh Ameir Hassan kilitangazwa mapema asubuhi ya leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi.

Soma Pia:
 
Si alisema wakati wa kibao kifo ni kifo tutoleeni hapa wezi wa kura
 
Kufa kufa tu so what's?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom