Mume wa Shamim amtishia Mange Bastola

Status
Not open for further replies.

Subiri tuone watakapoishia coz Mange anasema yeye anamtajaga Mr Sembe na sio yeye.Ha ha ha ni hatari
 
Ubuyu wa leo mtamu....naona shamim wanaopa za uso kwenye akaunti yake anafuta na kublock fasta...

Nikirippti toka insta ya bi sham...

 
Inanoga. Tanesco hebu punguzen mbembwe muvi iishe
 
Hilo ndio kubwa.....

Hivi mke si anapaswa kuwa na busara na kumshauri mumewe? Kwa nini asingeshauri kuwa anabugi????? Walikuwa na nafasi ya kumripoti polisi. Ila kwa kuwa wametaka kuonyesheana umjini haya wacha waendelee.....

Huyo jamaa kajitafutia kesi ya bureeeee.....wakati timing tu ndo ilikuwa inatakiwa kwa Huyo bi dada.Ila nilichokiona pia alikuwa anataka amdhihirishie kuwa yeye ni nani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…