Mume wa Shamim amtishia Mange Bastola

Mume wa Shamim amtishia Mange Bastola

Status
Not open for further replies.
Pesa sio kipimo cha akili my dear ( hususan hizo za sembe) ukizingatia na kujifanya wa mjini na connection na mapolisi....ndio kabisaaaaa

Kitendo cha kumtolea bastola na kumfata mpaka ostabey polisi na kujitapa kuwa anawamiliki na hakunasheria yoyote itakayoweza kumbana (according to mange maana hatukuwepo) tayari kadhihirisha kuwa biashara hiyo anafanya (ingawa hata humu jf kuna uzi ushawahi zungumzia hilo)

Alichopaswa kufanya ni kumripoti mange kimya kimya akaacha "vijana wake wa o'bey washughulile nae. Maana kwa lugha nyingine ametishia kuua.....

Subiri tuone watakapoishia coz Mange anasema yeye anamtajaga Mr Sembe na sio yeye.Ha ha ha ni hatari
 
Ubuyu wa leo mtamu....naona shamim wanaopa za uso kwenye akaunti yake anafuta na kublock fasta...

Nikirippti toka insta ya bi sham...

1436970813714.jpg
 
Inanoga. Tanesco hebu punguzen mbembwe muvi iishe
 
Hilo ndio kubwa.....

Hivi mke si anapaswa kuwa na busara na kumshauri mumewe? Kwa nini asingeshauri kuwa anabugi????? Walikuwa na nafasi ya kumripoti polisi. Ila kwa kuwa wametaka kuonyesheana umjini haya wacha waendelee.....

Huyo jamaa kajitafutia kesi ya bureeeee.....wakati timing tu ndo ilikuwa inatakiwa kwa Huyo bi dada.Ila nilichokiona pia alikuwa anataka amdhihirishie kuwa yeye ni nani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom