Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatumia jina gani insta
Pesa sio kipimo cha akili my dear ( hususan hizo za sembe) ukizingatia na kujifanya wa mjini na connection na mapolisi....ndio kabisaaaaa
Kitendo cha kumtolea bastola na kumfata mpaka ostabey polisi na kujitapa kuwa anawamiliki na hakunasheria yoyote itakayoweza kumbana (according to mange maana hatukuwepo) tayari kadhihirisha kuwa biashara hiyo anafanya (ingawa hata humu jf kuna uzi ushawahi zungumzia hilo)
Alichopaswa kufanya ni kumripoti mange kimya kimya akaacha "vijana wake wa o'bey washughulile nae. Maana kwa lugha nyingine ametishia kuua.....
Subiri tuone watakapoishia coz Mange anasema yeye anamtajaga Mr Sembe na sio yeye.Ha ha ha ni hatari
Hahahah kwa lugha nyingine jamaa anakubali yeye ndio mr sembe????
Acha movie liendelee....
Maana wengine tulichoka na story za ccm na ukawa.....
Acha watupe ubuyu
Mimi sikuwepo ila am hesitting to believe everything she wrote!Kumbe vituo vya polisi ni mali binafsi???? Ndio maana vijana mtaani wanaharibika tu deile... Ila nae ushamba wa kizamani kumtishia mtu bastola ( au ndio hakuna sheria????)
Mimi sikuwepo ila am hesitting to believe everything she wrote!
Jamani mliotukanwa ndege huyo yuko tunduni kazi kwenu
Inanoga. Tanesco hebu punguzen mbembwe muvi iishe
Mimi sikuwepo ila am hesitting to believe everything she wrote!
Pesa ina kiburi chake.....hata kama kaongea hayo,sijui inshu ya January imeingiaje.NAchelea kuamini hilo
Shamim anatumia jina gani instaUbuyu wa leo mtamu....naona shamim wanaopa za uso kwenye akaunti yake anafuta na kublock fasta...
Nikirippti toka insta ya bi sham...
Yap pesa ina kiburi....
Kama kaweza kumtishia bastola na kumfata hadi polisi.....inawezekana kasema...
Ila yetu macho.....
Wacha watupe ubuyu mpya
Shamim anatumia jina gani insta
Ha ha ha Mange bwana.....anajifanya haogopi bastola eeeh.Haya bhana
Hahahaha
Hapo kimoyomoyo roho ilikuwa inamdunda hahahah
Waliotukanwa kina nani tena???Halafu hayo ya Makamba yameingiaje tena?Mange kiboko...subiri nione hii movie
Huyo jamaa kajitafutia kesi ya bureeeee.....wakati timing tu ndo ilikuwa inatakiwa kwa Huyo bi dada.Ila nilichokiona pia alikuwa anataka amdhihirishie kuwa yeye ni nani.