miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
- Thread starter
-
- #41
nasubiri mwisho wa hii kitu kama ni kweli na sheria za nchi yetu.
Hilo ndio kubwa.....
Hivi mke si anapaswa kuwa na busara na kumshauri mumewe? Kwa nini asingeshauri kuwa anabugi????? Walikuwa na nafasi ya kumripoti polisi. Ila kwa kuwa wametaka kuonyesheana umjini haya wacha waendelee.....
Nmemuona nmepita tu kimya mi nna gundu yani hata nikicoment "mmh" nablokiwa, washaniblock wengi, Mange hadi kwenye blog yake kanifungia8020fashion
Ila kacomment kwa adabu leo anablock watu wanaoenda mchamba huko.....
Nmemuona nmepita tu kimya mi nna gundu yani hata nikicoment "mmh" nablokiwa, washaniblock wengi, Mange hadi kwenye blog yake kanifungia
Kumbe ulikuwa una muongelea huyu? Kwakweli mimi huyu Mange huwa namuona kama kachanganyikiwa vile lakini ni kweli katishiwa au anaongeza maneno? Kama kamtishia basi aka report polisi insta sio polisi..Ha ha ha na huko atakamatika kweli
Kumbe ulikuwa una muongelea huyu? Kwakweli mimi huyu Mange huwa namuona kama kachanganyikiwa vile lakini ni kweli katishiwa au anaongeza maneno? Kama kamtishia basi aka report polisi insta sio polisi..
Nmemuona nmepita tu kimya mi nna gundu yani hata nikicoment "mmh" nablokiwa, washaniblock wengi, Mange hadi kwenye blog yake kanifungia
Ha ha ha!
Usitake kunichekesha jamani, mimi kuna mmoja aliniblock wala sijawahi kucoment. Agness Masogange.
yani nikiguna tu napewa kufuli afu watu kibao utadhani wanaambiana lolHa ha ha ha nmejikuta nacheka....eti hata nikicoment mmh
Mi mwenyewe masogange aliniblock ha ha ha kuna picha moja alipost kapaka wanja vibaya, nika comment "mmh" akaniblock. Husna Maulid nae nliandika mmh akaniblock, teh Mange sasa kanibloc account yake, ile ya fashion hadi kwenye blog ha ha haHa ha ha!
Usitake kunichekesha jamani, mimi kuna mmoja aliniblock wala sijawahi kucoment. Agness Masogange.
Yeye na tuernyHa ha ha huyo nae anaonaga kama yaani dunia nzima mwenye tako yeye. Arghhhhhh
Sasa na yeye mbona ana kwenda kuyaongea insta? Mimi huyu dada huwa simuamini anaongeza chumvi...Anasema kaenda polisi....na mtuhumiwa kamfuata mpk police na kumtolea maneno ya kashfa kuwa pale ni kwake.
Madai eti yupo juu ya sheria....
Teh Teh Mwl utakuwa ulimchokoza ...Nmemuona nmepita tu kimya mi nna gundu yani hata nikicoment "mmh" nablokiwa, washaniblock wengi, Mange hadi kwenye blog yake kanifungia
yani nikiguna tu napewa kufuli afu watu kibao utadhani wanaambiana lol. Mi mwenyewe masogange aliniblock ha ha ha kuna picha moja alipost kapaka wanja vibaya, nika comment "mmh" akaniblock. Husna Maulid nae nliandika mmh akaniblock, teh Mange sasa kanibloc account yake, ile ya fashion hadi kwenye blog ha ha ha
Miss you binamuKwa jinsi alivyo mwongo, naona asilimia 80 ni chumvi. She can manipulate your mind in ways u cant understand. MUME wa Shamim naye mshamba. Angemtafutia wazee wa kazi wakachape mpaka kashike akili zake.
Jamani mliotukanwa, mtu wenu huyo kajaaa...
Kumbe watu wanamiliki hadi vituo vya polisi, hata kunitonya mchakato na sie tumiliki hata viwili tu ....Kumbe ulikuwa una muongelea huyu? Kwakweli mimi huyu Mange huwa namuona kama kachanganyikiwa vile lakini ni kweli katishiwa au anaongeza maneno? Kama kamtishia basi aka report polisi insta sio polisi..
Ha ha ha kuna picha alipost kavaa kimini, mguu kama penseli....nikaandika "guu guu" tehTeh Teh Mwl utakuwa ulimchokoza ...
Sasa na yeye mbona ana kwenda kuyaongea insta? Mimi huyu dada huwa simuamini anaongeza chumvi...
yani nikiguna tu napewa kufuli afu watu kibao utadhani wanaambiana lol. Mi mwenyewe masogange aliniblock ha ha ha kuna picha moja alipost kapaka wanja vibaya, nika comment "mmh" akaniblock. Husna Maulid nae nliandika mmh akaniblock, teh Mange sasa kanibloc account yake, ile ya fashion hadi kwenye blog ha ha ha
Miss you binamu