Mume wa Shamim amtishia Mange Bastola

Mume wa Shamim amtishia Mange Bastola

Status
Not open for further replies.
Hilo ndio kubwa.....

Hivi mke si anapaswa kuwa na busara na kumshauri mumewe? Kwa nini asingeshauri kuwa anabugi????? Walikuwa na nafasi ya kumripoti polisi. Ila kwa kuwa wametaka kuonyesheana umjini haya wacha waendelee.....

Mke hawezi kumshauri wakati yeye mwenyewe mange kamfika hapa....ha ha ha watapotezeana muda ppo are busy na uchaguzi
 
Ha ha ha na huko atakamatika kweli
Kumbe ulikuwa una muongelea huyu? Kwakweli mimi huyu Mange huwa namuona kama kachanganyikiwa vile lakini ni kweli katishiwa au anaongeza maneno? Kama kamtishia basi aka report polisi insta sio polisi..
 
Anasema kaenda polisi....na mtuhumiwa kamfuata mpk police na kumtolea maneno ya kashfa kuwa pale ni kwake.
Madai eti yupo juu ya sheria....
 
Ha ha ha!
Usitake kunichekesha jamani, mimi kuna mmoja aliniblock wala sijawahi kucoment. Agness Masogange.

Ha ha ha huyo nae anaonaga kama yaani dunia nzima mwenye tako yeye. Arghhhhhh
 
Ha ha ha ha nmejikuta nacheka....eti hata nikicoment mmh
yani nikiguna tu napewa kufuli afu watu kibao utadhani wanaambiana lol

Ha ha ha!
Usitake kunichekesha jamani, mimi kuna mmoja aliniblock wala sijawahi kucoment. Agness Masogange.
Mi mwenyewe masogange aliniblock ha ha ha kuna picha moja alipost kapaka wanja vibaya, nika comment "mmh" akaniblock. Husna Maulid nae nliandika mmh akaniblock, teh Mange sasa kanibloc account yake, ile ya fashion hadi kwenye blog ha ha ha
 
Hahahah pole shosti. Unifanya nicheke
yani nikiguna tu napewa kufuli afu watu kibao utadhani wanaambiana lol. Mi mwenyewe masogange aliniblock ha ha ha kuna picha moja alipost kapaka wanja vibaya, nika comment "mmh" akaniblock. Husna Maulid nae nliandika mmh akaniblock, teh Mange sasa kanibloc account yake, ile ya fashion hadi kwenye blog ha ha ha
 
Kwa jinsi alivyo mwongo, naona asilimia 80 ni chumvi. She can manipulate your mind in ways u cant understand. MUME wa Shamim naye mshamba. Angemtafutia wazee wa kazi wakachape mpaka kashike akili zake.

Jamani mliotukanwa, mtu wenu huyo kajaaa...
Miss you binamu
 
Ila loya we mbayaaaaaa
Kumbe ulikuwa una muongelea huyu? Kwakweli mimi huyu Mange huwa namuona kama kachanganyikiwa vile lakini ni kweli katishiwa au anaongeza maneno? Kama kamtishia basi aka report polisi insta sio polisi..
Kumbe watu wanamiliki hadi vituo vya polisi, hata kunitonya mchakato na sie tumiliki hata viwili tu ....
 
yani nikiguna tu napewa kufuli afu watu kibao utadhani wanaambiana lol. Mi mwenyewe masogange aliniblock ha ha ha kuna picha moja alipost kapaka wanja vibaya, nika comment "mmh" akaniblock. Husna Maulid nae nliandika mmh akaniblock, teh Mange sasa kanibloc account yake, ile ya fashion hadi kwenye blog ha ha ha

Wakiona mguno tu.....wanajua kuna comment inakuja matata sana wanajiamulia kufanya yao.
 
Kwa matendo na mambo anayo yafanya Mange lazima atakuja kupigwa risasi kabisa halafu kukaa kwake nje ya nchi nako kunamsaidia, maana wengine hawawezi kumfata, ila huwa anapitiliza kabisa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom