Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Naye ka kapitiwa na mtu kamwacha roho ina muuma ndo mana daily ana mtaja kwenye maandishi yake.Weeee unataka uniambie Makamba nae alimpitia???Duuh kama nawaona wakina Naki....ujue hasira inakubamba mpk unajikuta unataka kumtawanyisha mtu ubongo.
Ha ha ha kuna picha alipost kavaa kimini, mguu kama penseli....nikaandika "guu guu" teh
ndo akaniblock
Naye ka kapitiwa na mtu kamwacha roho ina muuma ndo mana daily ana mtaja kwenye maandishi yake.
Ha ha ha Mange ana ubaya wake....ila hata kama akiongeaga kitu kizuri lazima ataweka kichuki fulani binafsi.Kama ile inshu ya Naki kupamba ukumbi wa CCM ilinichekesha
Ahsante sijaamua tu nilivombishi ntafungua account nyingine niwafollow tena na doggymasta nae kaniblock tehHahahah pole shosti. Unifanya nicheke
Teh Teh Boss nchi hii watu wana miliki vituo ndio maana hakuna mtu anaweza kureport jambo la hatari maana watakuchoma! Ila Mange anapitiliza sana...Ila loya we mbayaaaaaa.
Kumbe watu wanamiliki hadi vituo vya polisi, hata kunitonya mchakato na sie tumiliki hata viwili tu ....
Hapo hawezi kukukana mana huwa ana mtaja shamimu a.k.a mama sembe hapo direct unaelewa ana muongelea nani na ile kuwaanika kwenye blog yake. Hyo kutishiwa angetafta ushahidi angempiga hata picha huyo Mr. Sembe kama hana, ni ujanja wake wa kujilinda mana hao watu sijui walimkosea nini?Subiri tuone watakapoishia coz Mange anasema yeye anamtajaga Mr Sembe na sio yeye.Ha ha ha ni hatari
Kwa matendo na mambo anayo yafanya Mange lazima atakuja kupigwa risasi kabisa halafu kukaa kwake nje ya nchi nako kunamsaidia, maana wengine hawawezi kumfata, ila huwa anapitiliza kabisa..
Teh Teh wewe lazima ni mkorofi au nenda kwa Ngwajima akupe maombi maalum yanaitwa "unblock prayers "Ahsante sijaamua tu nilivombishi ntafungua account nyingine niwafollow tena na doggymasta nae kaniblock teh
Ahsante sijaamua tu nilivombishi ntafungua account nyingine niwafollow tena na doggymasta nae kaniblock teh
Mheshmiwa hata hajaniblock ha ha haUchokozi ndo huo....we mtu kama muheshimiwa mbunge mtarajiwa wa singida v/maalum umwambie hvyo!!!teh teh
Teh Teh aliona una mkejeli.Ha ha ha kuna picha alipost kavaa kimini, mguu kama penseli....nikaandika "guu guu" teh
ndo akaniblock
Ha ha ha!
Usitake kunichekesha jamani, mimi kuna mmoja aliniblock wala sijawahi kucoment. Agness Masogange.
Utadhani wanaambianaMpk dogiuemasta we kiboko....ha ha ha
Mheshmiwa hata hajaniblock ha ha ha
Huyu kwa matendo yake lazima siku avunjwe miguu maana anajifanya kuwa anaweza kumtukana kila mtu...Yaani huyu anapendaga kuyaanzishaga mambo yakimshinda anakimbia insta o kwenye blog yake
Teh Teh wewe lazima ni mkorofi au nenda kwa Ngwajima akupe maombi maalum yanaitwa "unblock prayers "
Ndo anifungie hadi kwenye blog amezidi ha ha haTeh Teh aliona una mkejeli.
Wengi hawapendi kukosolewa kabisa!Wakiona mguno tu.....wanajua kuna comment inakuja matata sana wanajiamulia kufanya yao.
Mtu kama huyo ni kumtoa mapema sana duniani