Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Naye ka kapitiwa na mtu kamwacha roho ina muuma ndo mana daily ana mtaja kwenye maandishi yake.Weeee unataka uniambie Makamba nae alimpitia???Duuh kama nawaona wakina Naki....ujue hasira inakubamba mpk unajikuta unataka kumtawanyisha mtu ubongo.