Mume wa shangazi ananitaka kimapenzi, naomba ushauri

Kwenye Post yako nyingine kuna mahali umeandika hivi

Nikampiga marufuku kushika simu sasa mkiwa pamoja lazima atapata muda tu wa kuchukua simu akakusanya namba zote akawapigia anawaambia kila mmoja mwache mme wangu na wengine ni staffmate wangu, classmates, school and college mates wananishangaa una mwanamke wa aina gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwombe hela 2 million upate mtaji halafu uhame.
 

Hii ni script au ni true story?
 
Acha kuleta madharau kwenye elimu ya watu wewe! Huu mwandiko siyo wa mtu aliyeishia darasa la 7 au kidato cha 4! Hii story yako ni ya kupika.
 
Huyu sio darasa la saba. Pia nahisi hii story kaigeuza
 
Hongera sana kwa mpangilio wa mawazo na aya bila hata kukosea herufi. Elimu ya darasa la 7 tu.
Hili ni darasa la saba form six, maana form 4 za kata hawezi andika huu waraka aslani, houre girl, laptop, la saba tu, tena kijijini huko, hapana aisee
 
Kama yote haya ni kweli, kosa lako usingemuahidi anko, mkatalie tu kimya kimya na yataisha.

Mimi nilikataliwa na dada wa kazi mwenye msimamo na nikatulia tukaishi vizuri tu, wanaume tunajua kusonga mbele na maisha pale ukikataliwa na hatuweki visasi.
 
Kwa tafsiri yangu ya haraka ni kuwa wewe ndio baba mwenye nyumba unayetaka kula uroda kwa huyo binti.😄😄

Ushauri ni kuwa muache binti wa watu, usiongeze matatizo, kama umegombana na mkeo nenda riverside hukoo upunguze ugwadu..
 
hii haifanyi kazi, huko kwa joyce kiria kuna kesi kibao za wadada wa kazi kuliwa na wababa mijengo kwa kuaidiwa laki tano au milioni , wakishakubali kuliwa wazee waingia mitini hawataki kutoa hela ndo varangati lina anzia hapo.
 
Mzee hata wewe umeingia chaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
darasa la saba wanaijua jf pia, basi huu mtanao wetu kiboko, me nimecheka tu hapo aliposema alikuwa na kiswaswadu sijui kabla ya kupewa smartphone.

wanjiro kabadili jinsia na elimu kutoka college to std 7. alooooh
 
Hivi mume wa Shangazi sio mjomba?
 

Serikali ya CCM inapojichanganya kiitikadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…