Mume wa shangazi ananitaka kimapenzi, naomba ushauri

Mimi elimu yangu sio kubwa niliishia std 7, nina miaka 19, nimepitia changamoto nyingi sana za maisha. Mama na baba walitengana mimi nikiwa darasa la pili, kwahiyo nimeishi na baba kijijini huko mpaka nikamaliza la 7.

Nilipomaliza nikipata kazi za ndani mjini, nikaenda kwa huyo mama kufanya u house girl. Nimefanya miaka 3 sikuwahi kurudi kijijini ila baba nilikuwa namtumia pesa.

Kwa bahati mbaya mwaka Jana nikapata mimba baada ya kuanza tu mahusiano kwa mara ya Kwanza na kijana mmoja hivi. Yule mama alinifokea sana lakini akanifanya kama mwanae na yule kijana akawa anatoa sapoti ya huduma. Lakini kabla sijajifungua yule kijana aliondoka kwenda kwao hatoi tena ushirikiano na nilipoongea na kaka yake akasema huyo kijana kashaoa na hatakuja tena mjini.

Hadi Sasa Nina miezi 8 tangu nijifungue mtoto wa kike. Lakini tangu nimejifungua yule mama alikuwa ananinyanyasa kisa sina mtu anayenisapoti mahitaji.

Kuna shangazi yangu wa damu kabisa anaishi kwenye hili Jiji nilipo nikampigia nikamweleza akaniambia anaongea na mme wake waone Cha kufanya. Akanipa jibu kwa anko amekubali niende kukaa kwao maana wamejenga Wana nyumba mbili na watoto ni Wawili tu wakike wadogo tu wa kwanza Darasa la tatu na wapili ni chekechea.

Kimwonekano shangazi yangu ni kama tunalingana ila umri kanizidi hata anko mwenyewe ni kijana bado sema amefanikiwa kimaisha mapema.

Nina miezi mitatu nipo hapa ni watu ambao wapo bize sana maana kukicha asubuhi anti anaenda kusimamia biashara zao na anko anaenda kazini alikoajiriwa kwenye kampuni moja. Watoto wote wanaenda shule nyumbani nabaki peke yangu.

Huyu anko sikuwa namfahamu tangu amuoe anti ndo mara ya kwanza, nilikuwa namsikia tu. Kimwonekano ni mpole, hana kisirani, sio mwongeaji sana mara nyingi bize na laptop yake.

Nikibaki peke yangu nyumbani, wakati wa kurudi wanaanza watoto Kisha anafuatia anko saa moja moja hivi ndo anafuatia anti lakini kama anko akipitia kwenye biashara zao wanarudi wote na anti.

Sasa tangu nimefika anko huwa wakati mwingine ananipa pesa ananiambia kwaajili ya matumizi yangu binafsi na mtoto. Nilikuja nikiwa na kiswaswadu, anko akanunua simu akampa anti, anti akanipa akaniambia anko wako kakununulia, nikashukiru sana maana sijawahi kutumia smartphone.

Siku moja kabla ya kuniambia niachotaka kusema, alishinda nyumbani wakati huo watoto wameenda shule na anti ameenda Kwenye eneo kusimamia biashara zao.

Alinipa pesa nikanunua nyama, akaniambia ikiiva nimwekee supu...nilifanya hivyo nikamwandalia nikamwekea mezani nikamwambia anko supu iko tayari akasema nimpelekee chumbani maana yupo bize na akasema mgeni yeyote akija nisiseme kama kama yupo. Nikampelekea nikamwekea huku akiwa bize na laptop yake pembeni chumbani kwao Kuna kiti na meza, alikuwa na bukta na singilendi.

Alipomaliza akaniita nitoe vyombo akaniambia Asante sana kwa supu, ilikuwa tamu sana, wewe ukiolewa utakuwa mke bora sana. Nikamwambia asante anko, nikaondoka.

Sasa Jumamosi kazini kwake huwa anarudi mchana, ana kawaida ya kupitia kwenye biashara zao kuangalia maendeleo lakini Jumamosi alinyoosha tu nyumbani. Alinikuta Mimi maana watoto walikuwa wameenda kucheza nyumba jirani.

Alirudi mnyonge, akaniita kwa Jina, nikaitika abee akaniambia njoo , alikuwa kwenye kichumba kidogo kina shelfu za vitabu vitabu watoto huwa wanasomea huko na yeye wakati mwingine anakuwaga ana laptop yake.

Nilipoingia alikuwa ameanamia chini kapiga magoti anachambua chambua makaratasi, anko huwa hana ujasiri sana wa kuongea, ila akaniambia unajua anti yako tumegombana na unajua ukali wake hadi sahivi akili yangu haiko sawa hata kazini kimawazo sipo sawa maana sijakutana nae mwezi mzima. Usione tunarudi wote ila kiukweli siko sawa kiakili. Mi naomba unisaidie mwili wangu hauko sawa nashindwa utulivu wa akili. Akasema samahani sana sio kwa vile upo kwangu usinifikirie vibaya, nakupa Uhuru, hata ukikataa siwezi kuchukia ila iwe siri usimwambie shangazi yako au mtu yeyote.

Nikamwambia anko Mimi leo sipo sawa nikiwa sawa nitakwambia, ila sikuwa hedhi nilikuwa nipo sawa tu, akasimama akanishika mkono akaniambia lini utakuwa sawa, nikamwambia baada ya siku tatu. Akaniambia sawa akanikumbatia kwa mara ya Kwanza niliwaza sana nakukosa amani.

Sasa hapa nipo Njiapanda, sielewi nifanyaje jamani, leo ni siku ya tatu tangu nimwambie kwamba nitakuwa tayari baada ya siku tatu, wiki hii ataniambia tena. Naomba ushauri, maana nawaza au nimwambie anti, nikisema niondoke mi sina Chochote, sina hapa pa kuanzia, baba mwenyewe kijijini anategemea nimtumie pesa. Halafu Sasa hata baba huwa anaongea na anko kumshukuru kwa kunipokea, anko anamwambia uwe na amani Yuko salama kabisa.

Naomba mnishauri nifanyaje.
Kwenye Post yako nyingine kuna mahali umeandika hivi

Nikampiga marufuku kushika simu sasa mkiwa pamoja lazima atapata muda tu wa kuchukua simu akakusanya namba zote akawapigia anawaambia kila mmoja mwache mme wangu na wengine ni staffmate wangu, classmates, school and college mates wananishangaa una mwanamke wa aina gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwombe hela 2 million upate mtaji halafu uhame.
 
Hii ni script au ni true story?
 
Acha kuleta madharau kwenye elimu ya watu wewe! Huu mwandiko siyo wa mtu aliyeishia darasa la 7 au kidato cha 4! Hii story yako ni ya kupika.
 
Huyu sio darasa la saba. Pia nahisi hii story kaigeuza
Naomba jina la shule yako ya msingi uliyosoma na jina la mwalimu wako wa Kiswahili. Mwalimu huyo anastahili kupandishwa cheo mara moja maana kwenye somo la uandishi wa insha na matumizi ya Kiswahili sanifu pamoja na alama sahihi za uandishi kaiva sawasawa. Nyote hongereni sana [emoji1376][emoji1376][emoji1376]
 
Hongera sana kwa mpangilio wa mawazo na aya bila hata kukosea herufi. Elimu ya darasa la 7 tu.
Hili ni darasa la saba form six, maana form 4 za kata hawezi andika huu waraka aslani, houre girl, laptop, la saba tu, tena kijijini huko, hapana aisee
 
Huyu sio darasa la saba. Pia nahisi hii story kaigeuza
Alijiunga JF 2016 akiwa na miaka 12 (maana kwa sasa ana miaka 19!) 😁😁😁

Screenshot_20230925_130945_Chrome.jpg
 
Kama yote haya ni kweli, kosa lako usingemuahidi anko, mkatalie tu kimya kimya na yataisha.

Mimi nilikataliwa na dada wa kazi mwenye msimamo na nikatulia tukaishi vizuri tu, wanaume tunajua kusonga mbele na maisha pale ukikataliwa na hatuweki visasi.
 
Kwa tafsiri yangu ya haraka ni kuwa wewe ndio baba mwenye nyumba unayetaka kula uroda kwa huyo binti.😄😄

Ushauri ni kuwa muache binti wa watu, usiongeze matatizo, kama umegombana na mkeo nenda riverside hukoo upunguze ugwadu..
 
Hapo kuna mawili, ukimkatalia, vita itaanza, sisi wanaume tunajijua wenyewe 😂 na vita ikianza utahangaika sana wewe na mtoto. Ila pia ukimwambia shangazi yako utahatarisha ndoa yao na familia ambayo inaonekana imejijenga kwa jasho na damu.

Hapa duniani ni kutumia akili ili usidhurike lakini wakati huo huo upate faida, inaonekana hiyo issue ni serious na usipoangalia utasambaratisha hiyo familia.

Kwa maelezo tu anko wako anaonekana maisha yake milioni au laki tano, sita sio kitu kigumu kwake.

Sasa kwakuwa ushaingia kwenye huo mtego, kabla hujampa penzi mwambia shida yoyote inayohitaji kuanzia laki sita na kuendelea akikupa, mpe penzi, mwambie anko mi nimekubali ila tupime kwanza afya pia kwa usalama wako anko na hakikisha haupo kwenye hatari ya kupata mimba.

Ukishampa pata safari ya dharula ya kurudi nyumbani chap sana, ukichelewa penzi halina adabu utaumbuka mchana kweupe. Ondoka kisha kaanzishe makazi yako na vibiashara ndogondogo anza maisha. Ushauri wangu.
hii haifanyi kazi, huko kwa joyce kiria kuna kesi kibao za wadada wa kazi kuliwa na wababa mijengo kwa kuaidiwa laki tano au milioni , wakishakubali kuliwa wazee waingia mitini hawataki kutoa hela ndo varangati lina anzia hapo.
 
Naomba jina la shule yako ya msingi uliyosoma na jina la mwalimu wako wa Kiswahili. Mwalimu huyo anastahili kupandishwa cheo mara moja maana kwenye somo la uandishi wa insha na matumizi ya Kiswahili sanifu pamoja na alama sahihi za uandishi kaiva sawasawa. Wewe na mwalimu wako hongereni sana! [emoji1376][emoji1376][emoji1376]
Mzee hata wewe umeingia chaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
darasa la saba wanaijua jf pia, basi huu mtanao wetu kiboko, me nimecheka tu hapo aliposema alikuwa na kiswaswadu sijui kabla ya kupewa smartphone.

wanjiro kabadili jinsia na elimu kutoka college to std 7. alooooh
 
Mimi elimu yangu sio kubwa niliishia std 7, nina miaka 19, nimepitia changamoto nyingi sana za maisha. Mama na baba walitengana mimi nikiwa darasa la pili, kwahiyo nimeishi na baba kijijini huko mpaka nikamaliza la 7.

Nilipomaliza nikipata kazi za ndani mjini, nikaenda kwa huyo mama kufanya u house girl. Nimefanya miaka 3 sikuwahi kurudi kijijini ila baba nilikuwa namtumia pesa.

Kwa bahati mbaya mwaka Jana nikapata mimba baada ya kuanza tu mahusiano kwa mara ya Kwanza na kijana mmoja hivi. Yule mama alinifokea sana lakini akanifanya kama mwanae na yule kijana akawa anatoa sapoti ya huduma. Lakini kabla sijajifungua yule kijana aliondoka kwenda kwao hatoi tena ushirikiano na nilipoongea na kaka yake akasema huyo kijana kashaoa na hatakuja tena mjini.

Hadi Sasa Nina miezi 8 tangu nijifungue mtoto wa kike. Lakini tangu nimejifungua yule mama alikuwa ananinyanyasa kisa sina mtu anayenisapoti mahitaji.

Kuna shangazi yangu wa damu kabisa anaishi kwenye hili Jiji nilipo nikampigia nikamweleza akaniambia anaongea na mme wake waone Cha kufanya. Akanipa jibu kwa anko amekubali niende kukaa kwao maana wamejenga Wana nyumba mbili na watoto ni Wawili tu wakike wadogo tu wa kwanza Darasa la tatu na wapili ni chekechea.

Kimwonekano shangazi yangu ni kama tunalingana ila umri kanizidi hata anko mwenyewe ni kijana bado sema amefanikiwa kimaisha mapema.

Nina miezi mitatu nipo hapa ni watu ambao wapo bize sana maana kukicha asubuhi anti anaenda kusimamia biashara zao na anko anaenda kazini alikoajiriwa kwenye kampuni moja. Watoto wote wanaenda shule nyumbani nabaki peke yangu.

Huyu anko sikuwa namfahamu tangu amuoe anti ndo mara ya kwanza, nilikuwa namsikia tu. Kimwonekano ni mpole, hana kisirani, sio mwongeaji sana mara nyingi bize na laptop yake.

Nikibaki peke yangu nyumbani, wakati wa kurudi wanaanza watoto Kisha anafuatia anko saa moja moja hivi ndo anafuatia anti lakini kama anko akipitia kwenye biashara zao wanarudi wote na anti.

Sasa tangu nimefika anko huwa wakati mwingine ananipa pesa ananiambia kwaajili ya matumizi yangu binafsi na mtoto. Nilikuja nikiwa na kiswaswadu, anko akanunua simu akampa anti, anti akanipa akaniambia anko wako kakununulia, nikashukiru sana maana sijawahi kutumia smartphone.

Siku moja kabla ya kuniambia niachotaka kusema, alishinda nyumbani wakati huo watoto wameenda shule na anti ameenda Kwenye eneo kusimamia biashara zao.

Alinipa pesa nikanunua nyama, akaniambia ikiiva nimwekee supu...nilifanya hivyo nikamwandalia nikamwekea mezani nikamwambia anko supu iko tayari akasema nimpelekee chumbani maana yupo bize na akasema mgeni yeyote akija nisiseme kama kama yupo. Nikampelekea nikamwekea huku akiwa bize na laptop yake pembeni chumbani kwao Kuna kiti na meza, alikuwa na bukta na singilendi.

Alipomaliza akaniita nitoe vyombo akaniambia Asante sana kwa supu, ilikuwa tamu sana, wewe ukiolewa utakuwa mke bora sana. Nikamwambia asante anko, nikaondoka.

Sasa Jumamosi kazini kwake huwa anarudi mchana, ana kawaida ya kupitia kwenye biashara zao kuangalia maendeleo lakini Jumamosi alinyoosha tu nyumbani. Alinikuta Mimi maana watoto walikuwa wameenda kucheza nyumba jirani.

Alirudi mnyonge, akaniita kwa Jina, nikaitika abee akaniambia njoo , alikuwa kwenye kichumba kidogo kina shelfu za vitabu vitabu watoto huwa wanasomea huko na yeye wakati mwingine anakuwaga ana laptop yake.

Nilipoingia alikuwa ameanamia chini kapiga magoti anachambua chambua makaratasi, anko huwa hana ujasiri sana wa kuongea, ila akaniambia unajua anti yako tumegombana na unajua ukali wake hadi sahivi akili yangu haiko sawa hata kazini kimawazo sipo sawa maana sijakutana nae mwezi mzima. Usione tunarudi wote ila kiukweli siko sawa kiakili. Mi naomba unisaidie mwili wangu hauko sawa nashindwa utulivu wa akili. Akasema samahani sana sio kwa vile upo kwangu usinifikirie vibaya, nakupa Uhuru, hata ukikataa siwezi kuchukia ila iwe siri usimwambie shangazi yako au mtu yeyote.

Nikamwambia anko Mimi leo sipo sawa nikiwa sawa nitakwambia, ila sikuwa hedhi nilikuwa nipo sawa tu, akasimama akanishika mkono akaniambia lini utakuwa sawa, nikamwambia baada ya siku tatu. Akaniambia sawa akanikumbatia kwa mara ya Kwanza niliwaza sana nakukosa amani.

Sasa hapa nipo Njiapanda, sielewi nifanyaje jamani, leo ni siku ya tatu tangu nimwambie kwamba nitakuwa tayari baada ya siku tatu, wiki hii ataniambia tena. Naomba ushauri, maana nawaza au nimwambie anti, nikisema niondoke mi sina Chochote, sina hapa pa kuanzia, baba mwenyewe kijijini anategemea nimtumie pesa. Halafu Sasa hata baba huwa anaongea na anko kumshukuru kwa kunipokea, anko anamwambia uwe na amani Yuko salama kabisa.

Naomba mnishauri nifanyaje.
Hivi mume wa Shangazi sio mjomba?
 
Serikali ya CCM inapojichanganya kiitikadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom