Mume wa shangazi ananitaka kimapenzi, naomba ushauri

Mimi nilikataliwa na dada wa kazi mwenye msimamo na nikatulia tukaishi vizuri tu,[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unapenda hizo mambo siku zote jitahidi kuuishi huu msemo: When you strike at a king, you MUST kill him!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
We la saba wa wapi asiee, umeandika kwa grammar kali kabisa. Kuna watu na degree zao hata kuweka paragraph ni tatizo, kutumia r na l ni shida. Hongera sana.

Sasa ukimpa au usipompa kuna tatizo gani? au ataacha alama usoni?
 
Mwombe hela 2 million upate mtaji halafu uhame.
2mil apewe hana pa kwenda hana biashara unampoteza mwenzio.

mfundishe mbinu ya kumsaidia kesho maana kwa leo kashafeli lazima atatoa tu. Msaidie kesho asitoe tena yani atoe mara moja tu na iwe once and for life.

mara paap mara 1 na mimba juu na mwanaume aseme anataka uzae Huyu dada lazima ahisi Shetani ni pacha ake.
 
Nilikua nasubiri hizi comments πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi bado hamjamgundua huyu jamaa wakuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
...yaani anko ana laptop unafikiri hapajui humu... Pole sana hukupaswa kuyaanika humu...

fanya kumkatalia maana kasema hatachukia...

kuhusu utaishije usijali karipoti police... Kama atakubhughuzi au kutaka kukudhuru
 
Binafsi nimemgundua,lakini natamani watu wasiangalie kwa namna ya Story waichukulie serious washauri maana Kuna mtu mahali yupo humu JF anapitia hii hali.

Watu wakitoa majibu pasipo wao kujua watakua wamemsaidia mtu mwingine mahali flani.
That's nice 🀝
 
Hakuna std seven hapaaa
 
Nimesoma Tu aya ya Kwanza nikachoka nilipoona n drs la 7 Ila ana mwandiko wa high school nikaona hii chai itanichoma... Mwenye andazi plz
 
Hongera zao walimu wako wa elimu ya awali na msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…